Posted on: November 4th, 2024
Halmashauri ya Wilaya ya Geita imeongoza kati ya Halmashauri Sita za Mkoa wa Geita katika Matokeo ya Mbio za Mwenge wa Uhuru zilizofanyika Oktoba 5, 2024.
Mbio za Mwenge wa Uhuru 2024 zilianza Mkoa...
Posted on: November 3rd, 2024
Timu ya wataalam Halmashauri ya wilaya ya Geita ikiongozwa na Afisa Mipango (W) Bi Sarah Yohana Novemba 2, 2024 imefanya ziara ya kukagua utekelezaji wa miradi inayo tekelezwa kupitia wajibu wa kampun...
Posted on: November 1st, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Geita Mhe Hashim Abdallah Komba, Oktoba 31,2024 amewataka wananchi Wilayani Geita kuzingatia Lishe bora katika maisha yao ya kila siku.
Wito huo umetolewa katika Kata ya Nzera yal...