Posted on: September 22nd, 2025
Wauguzi katika vituo vya Afya na Zahanati Pamoja na Maafisa Lisha leo Septemba 23,2025 wamepatiwa mafunzo ya Afua za Lishe ili kuwajengea uwezo katika maeneo ya kazi.
Awali akifungua maf...
Posted on: September 20th, 2025
Wananchi wa Kata ya Katoro, mapema leo Septemba 20, 2025 wamejitokeza kuadhimisha siku ya Usafishaji Duniani ikiwa ni mwendelezo wa juhudi za kupambana na changamoto ya udhibiti wa taka duni katika ja...
Posted on: September 2nd, 2025
Mbio za Mwenge wa Uhuru zilizosubiriwa kwa Hamu kubwa na wakazi wa Halmashauri ya Wilaya ya Geita hatimaye zimefanyika siku ya Jana Septemba 01, 2025, Katika Halmashauri ya Wilaya ya Geita.
Mw...