Posted on: August 11th, 2021
Mkuu wa wilaya ya Geita Mh Wilson Samwel Shimo amewatoa hofu wanafunzi wa shule ya Sekondari Lwezera, kufuatia ajali ya radi iliyotokea leo Agosti11, 2021 na kuwajeruhi wanafunzi 16 wa shule hiyo.
...
Posted on: August 11th, 2021
Halmashauri ya Wilaya ya Geita imejiwekea mpango wa kukamilisha maboma yote ya miradi ya afya na elimu ifikapo mwezi Disemba 2021.
Mwenyekiti wa Halmashsauri ya Wilaya ya Geita Mh. Charles Kazungu ...
Posted on: August 4th, 2021
Mkuu wa wilaya ya Geita Mh. Wilson Shimo amempongeza Rais Samia suluhu Hasan kwa jitihada kubwa alizoziweka katika kuhudumuia wananchi wa Tanzania kupitia sekta ya afya.
Mheshimiwa Wilson Shi...