Posted on: July 25th, 2019
Walengwa wa mpango wa Serikali wa kunusuru kaya masikini TASAF watakiwa kuwapeleka watoto shule na kufuatilia maendeleo yao ili waweze kuwa na sifa za kusaidiwa na mpango huo.
Hayo yameelezwa na Mk...
Posted on: July 23rd, 2019
Katika kuhakikisha dhamira ya kumtua mama ndoo kichwani inafikia malengo, Halmashauri ya wilaya ya Geita imekamilisha miradi ya maji safi na salama kwa wananchi waishio vijijini na miji mi...
Posted on: July 18th, 2019
Mkuu wa Wilaya ya Geita Josephat Maganga amewaondoa zaidi ya wachimbaji wadogo 2000 waliovamia jana katika mgodi wa Backleef uliopo kitongoji cha Mnekezi kata ya Lwamgasa.
Akizungumza na wachimbaji...