Posted on: March 1st, 2025
Katoro-Geita
Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Geita Ndg Karia Rajab Magaro leo 1,Machi 2025 ameshiriki katika zoezi la kufanya usafi wa mazingira katika Mamlaka ya mji mdogo wa Katoro.
...
Posted on: February 28th, 2025
Mkuu wa Wilaya ya Geita Mhe Hashim Abdallah Komba leo Februari 28,2025 ametembelea na kukagua ujenzi wa shule mbili za amali katika Jimbo la Geita na Busanda Halmashauri ya Wilaya ya Geita...
Posted on: February 19th, 2025
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya, Mh. Charles Kazungu, amewataka Wazazi Wilayani Geita kuhakikisha wanawaandikisha watoto wao waliofanikiwa kuchaguliwa kujiunga na Kidato cha Kwanza kwa mwaka wa 20...