Posted on: August 26th, 2021
Mkuu wa Mkoa wa Geita Mh.Rosemary sitaki Senyamule,ameipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Geita kwa kuunga mkono juhudi zinazofanywa na wawekezaji, katika kuchangia miradi mbalimbali ya maendeleo.
Am...
Posted on: August 24th, 2021
Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Geita Nzera,inategemewa kuanza kutoa huduma za kibingwa kila mwezi ifikapo septemba mwaka huu, kwa lengo la kuwasogezea huduma wagonjwa mbalimbali.
Hayo yameba...
Posted on: August 23rd, 2021
Wito umetolewa kwa jamii kubadilisha tabia,sambamba na wazazi kufuatilia mienendo ya watoto wao, ili kudhibiti maambukizi mapya ya virusi vya UKIMWI kwa vijana walio na umri chini ya miaka 25, k...