Posted on: November 26th, 2024
Wanafunzi waliomaliza mitihani ya kidato cha nne 2024 katika shule ya Sekondari Bugalama Halmashauri ya Wilaya ya Geita, Novemba 26, 2024 wamejumuika pamoja na walimu na viongozi wa chama na serikali ...
Posted on: November 25th, 2024
Halmashauri ya Wilaya ya Geita imeadhimisha Siku ya UKIMWI Duniani mnamo Novemba 25, 2024, katika Kata ya Nyaruyeye, kwa lengo la kuhamasisha jamii kujikinga dhidi ya maambukizi ya Virusi vya UKIMWI (...
Posted on: November 24th, 2024
Wasimamizi wa vituo na Makarani waongozaji kutoka Jimbo la Geita na Busanda wamepewa mafunzo katika kuwajengea uwezo kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27, 2024.
Maf...