Posted on: December 11th, 2025
Timu ya Menejimenti ya Halmashuri ya Wilaya ya Geita ikiongozwa na Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Geita Dkt. Alphonce Bagambabyaki imefanya ukaguzi wa miradi ya marndeleo katika Kata ya ...
Posted on: December 4th, 2025
Nzera-Geita
Mkutano wa kwanza wa Baraza la Madiwani Halmashauri ya Wilaya ya Geita umefanyika leo Desemba 04,2025 katika Ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri ya Wilaya ya Geita.
Akifungua Mku...
Posted on: December 1st, 2025
Nzera-Geita
Wizara ya Kilimo imetoa zana za Kilimo ambazo ni Matrekta 5 na Pawatila 16 pamoja na viambata vyake.
Akipokea hati ya makabidhiano ya vifaa hivyo kutoka kwa Afisa Manunuzi Wiza...