Posted on: July 26th, 2024
OCTOBA 5, 2024 Halmashauri ya Wilaya ya Geita inatarajia kupokea Mwenge wa Uhuru ambao utakimbizwa umbali wa km 45 kutoka eneo la mapokezi kata ya Bugulula hadi eneo la mkesha katika kata ya Nkome na ...
Posted on: July 25th, 2024
July 25 kila mwaka ni siku ya Historia kwa taifa la Tanzania ambapo huadhimisha siku ya kumbukumbu ya mashujaa katika kuwaenzi mashujaa ambao kwa uzalendo mkubwa na ujasiri wao waliweza kujitolea mais...
Posted on: July 23rd, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Geita Mhe. Hashim Abdallah Komba, Julai 22, 2024 amefanya ziara ya kukagua miradi ya maendeleo tarafa ya Bugando kata ya Bugulula jimbo la Geita vijijini.
Akiwa kata ya Bugulula, ...