Posted on: September 1st, 2022
Na Michael Kashinde
Mkuu wa Wilaya ya Geita Mhe. Wilson Shimo amewataka viongozi na watendaji wa ngazi mbalimbali kuendelea kuihamashisha jamii ili iitikie katika Kampeni ya chanjo ya Polio awamu y...
Posted on: August 31st, 2022
Na Michael Kashinde
Katika kuunga mkono juhudi za Serikali ya awamu ya sita katika maendeleo ya Sekta ya Elimu Shirika la Plan International limetoa vitabu 52,683, vifaa vya michezo pamoja na vifaa...
Posted on: August 18th, 2022
Na. Michael Kashinde
Shirika la SEDIT linaloshirikiana na PLAN International pamoja na Kivulini katika kutekeleza mradi wa kutokomeza ajira hatarishi na ukatili kwa watoto awamu ya Tatu mwaka 2020 ...