• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Halmashauri ya Wilaya ya Geita
Halmashauri ya Wilaya ya Geita

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
    • Historia
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
        • TASAF
      • Fedha na Biashara
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Elimu Msingi
        • Utamaduni
      • Elimu Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Manunuzi na Ugavi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • UKIMWI
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Madini
    • Viwanda
    • Biashara
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Uvuvi
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe.Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Elimu,Afya na Maji
      • UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Wahe.Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Ripoti mbalimbali
    • Sheria ndogo
    • Mpango mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi/kitaifa
    • Hotuba za viongozi
    • Maktaba ya Picha

Viwanda

Halmashauri ya Wilaya ya Geita inaendelea na utekelezaji wa mkakati wa uanzishaji viwanda, mpaka sasa viwanda 15 vipya vimeanzishwa na wadau mbalimbali. Viwanda 59 vya uchenjuaji wa dhahabu, 1 kusindika nanasi, 3 kusindika alizeti na 412 vya kuchakata nafaka vipo vinaendelea kufanya kazi. Hatua mbalimbali zimeshachukuliwa ili kufikia malengo ya mkakati huu ikiwemo:- kutambua fursa za uwekezaji, maeneo yenye vipaumbele, na mikakati ya kuanzisha viwanda hivyo.

Halmashauri katika kutekeleza sera ya viwanda imeweza kuainisha maeneo ya uwekezaji kwa wawekezaji wa ndani na wa nje yaliyopo katika Halmashauri kwa kuzingatia fursa za uendelezaji katika viwanda kutokana na shughuli kubwa za kiuchumi ambazo ni:-

  • Kilimo cha mazao kutokana na hali nzuri ya hewa.
  • Uvuvi katika ziwa victoria.
  • Ufugaji kutokana na mazingira mazuri ya ufugaji.
  • Uchimbaji madini.
  • Usafiri majini na Utalii.

Maeneo ya kipaumbe ya kiuchumi yaliyo ainishwa kwa ajili ya uwekezaji ni pamoja na Kilimo cha miwa kwa ajili ya kiwanda cha  sukari, kilimo cha nanasi, nafaka mbalimbali na alizeti pia  Uchimbaji na uchenjuaji wa madini ya dhahabu. Hii ni kutokana na kuwa na ardhi yenye rutuba nzuri, maeneo ya kutoshwa kwa ajili ya kilimo, hali ya hewa nzuri na mvua za kutosha, maeneo yenye madini ya dhahabu.

Halmashauri imedhamiria kuendeleza na kuanzisha viwanda vipya katika maeneo yote yenye fursa za uwekezaji kwa lengo la kukuza uchumi katika kuelekea nchi ya kipato cha kati.

Maeneo yaliobainishwa kwa ajili ya ujenzi wa viwanda 

NA

FURSA

RASLIMALI ZILIZOPO

MAHALI

UKUBWA (EKARI)

1.
KIWANDA CHA SUKARI
  • UWEPO WA MASHAMBA YA MBEGU ZA MIWA YA SUKARI
  • ARDHI
  • MAJI
  • BARABARA
  • UMEME
  • BODI YA SUKARI KUTOA USHAURI NA FEDHA
  • NYAWILIMILWA
  • Nyamwilolelwa
  • 975
  • 1525
2.
KUSINDIKA NANASI
  • UZALISHAJI WA NANASI
  • MVUA ZA UHAKIKA
  • UMEME
  • ARDHI YENYE RUTUBA
  • MAJI
  • BARABARA
  • IGATE
  • 3,750
3.
KIWANDA CHA KUSINDIKA NAFAKA
  • UZALISHAJI WA MAHINDI/MPUNGA
  • ARDHI
  • UMEME
  • BARABARA
  • WATU
  • NYACHILULUMA
  • MABONDE YA SARAGULWA
  • NYAMALULU
  • LUHUHA/INYALA
  • LWEZERA
  • NZERA/NYAMBOGE
  • 800
  • 1,300
  • 750
  • 1,300
  • 1,075
  • 1,450
4.
KIWANDA CHA UCHENJUAJI WA MADINI YA DHAHABU
  • UWEPO WA MAENEO YENYE MADINI YA DHAHABU
  • NYARUGUSU
  • LWAMGASA
  • MAGENGE
  • KASEME
  • BUTOBELA

5.
KIWANDA CHA KUSINDIKA NYAMA/MAZIWA
  • UWEPO WA MIFUGO
  • UWEPO WA MAENEO YA KUZALISHA MALISHO
  • UWEPO WA MAJI
  • UWEPO WA BARABARA
  • CHIBINGO –NYAMIGOTA
  • 300
6.
KIWANDA CHA KUSINDIKA ALIZETI
  • UZALISHAJI WA ALIZETI
  • ARDHI
  • UMEME
  • BARABARA
  • WATU
  • CHEMAMBA
  • KASOTA
  • BUTOBELA
  • NYAMIGOGO
  • 400
  • 400
  • 400
  • 400
7.
KIWANDA CHA KUCHAKATA MUHOGO
  • UMEME
  • ARDHI
  • BARABARA
  • UZALISHAJI  WA MHOGO
  • CHIGUNGA
  • 62,875

Tangazo

  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO KWA VIKUNDI January 23, 2025
  • TANGAZO LA KAZI GEITA DC September 10, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA September 16, 2024
  • Geita Mamlaka za Wilaya na malmaka za miji GP DOM.pdf September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WANANCHI WAHIMIZWA KULINDA AMANI NA UTULIVU KUELEKEA UCHAGUZI MKUU-CPA AMOS MAKALLA

    May 20, 2025
  • RUSHWA NI JANGA LINALOATHIRI MAENDELEO YA KIUCHUMI, KIJAMII NA KISIASA NCHINI-RAS GOMBATI.

    May 13, 2025
  • GEITA YAPATA MAJIMBO MAPYA YA UCHAGUZI.

    May 12, 2025
  • ALAT MKOA WA GEITA WAMPONGEZA MKURUGENZI GEITA DC USIMAMIZI MZURI WA MIRADI

    May 10, 2025
  • Tazama zote

video

DED. WANGA AWATAKIA MTIHANI MWEMA WANAFUNZI WA KIDATO CHA NNE HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA WANAOJIANDAA KUFANYA MITIHANI YA TAIFA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Asili ya jina Geita
  • Fursa ya viwanda
  • Fursa ya madini
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA TANO NA VYUO VYA KATI, 2021
  • Vivutio vya Utalii
  • Miradi itakayotekelezwa
  • Miradi inayoendelea
  • Orodha ya wahe.Madiwani

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Bofya Hapa Kutuma,Kupokea na Kufuatilia Malalamiko,Mapendekezo,Maulizo na Pongezi Halmashauri ya Wilya ya Geita
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Watumishi Portal
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu(NBS)
  • Ofisi ya Rais TAMISEMI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter Widgets

Ramani ya Sehemu

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Geita

    Anuani ya Posta: S.L.P 139 Geita

    Simu: +225 282520061

    Mobile:

    Barua pepe: info@geitadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali na Majibu yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki@ Halmashauri ya wilaya ya Geita , Haki zote zimehifadhiwa