Mkuu wa Idara:Edith Mpinzile
Majukumu ya Msingi ya Idara;
Majukumu ya idara ya Elimu Msingi yanatekelezwa kutegemea vitengo vilivyopo kama vile Taaluma, Takwimu na Vifaa, Elimu ya Watu wazima pamoja na Elimu Maalum. Aidha majukumu hayo yanatekelezwa kwa ngazi za kata na vijiji kupitia Waratibu Elimu Kata pamoja na walimu wakuu katika shule za serikali na binafsi. Majukumu hayo ni kama ifuatavyo:-
Halmashauri ya Wilaya ya Geita
Anuani ya Posta: S.L.P 139 Geita
Simu: +225 282520061
Mobile:
Barua pepe: info@geitadc.go.tz
Hakimiliki@ Halmashauri ya wilaya ya Geita , Haki zote zimehifadhiwa