• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Halmashauri ya Wilaya ya Geita
Halmashauri ya Wilaya ya Geita

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
    • Historia
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
        • TASAF
      • Fedha na Biashara
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Elimu Msingi
        • Utamaduni
      • Elimu Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Manunuzi na Ugavi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • UKIMWI
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Madini
    • Viwanda
    • Biashara
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Uvuvi
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe.Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Elimu,Afya na Maji
      • UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Wahe.Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Ripoti mbalimbali
    • Sheria ndogo
    • Mpango mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi/kitaifa
    • Hotuba za viongozi
    • Maktaba ya Picha

Mipango Takwimu na Ufuatiliaji


Mkuu wa Idara: Sara Yohana

Majukumu ya Msingi ya Idara ya Mipango Takwimu na Ufuatiliaji;

  • Kufanya utafiti na kubainisha Fursa zilizopo katika Sekta husika.
  • Kuainisha vipaumbele vya Maendeleo.
  • Kuaanda mpango  kazi wa bajeti  kwa mwaka husika (Action Plan).
  • Kufanya tathimini ya Sera za Kisekta.
  • Kubuni na kuweka mikakati ya kuongeza ufanisi katika uzalisha na utoaji huduma.
  • Kuthamini Muundo wa Serikali wa utoaji huduma mbalimbali za jamii na Utawala.
  • Kuthamini ujuzi na uwezo binafisi wa watumishi wa Idara mbalimbali katika  kutoa huduma kwa ufanisi na kutoa ushauri.
  • Kuthamini na kuweka vipaumbele katika maeneo ya kuweka katika sekta za uzalishaji,miundombinu na maendeleo ya jamii na utawala.
  • Kuwa na mashauriano ya kitaalam katika sekt husika
  • Kuandaa taarifa ya utekelezaji wa kazi anazofanyika kwa mwaka.
  • Kutambua mahitaji ya utaalam katika sekta za jamii.
  • Kuongoza katika kuandaa/kutayarisha makala ya maendeleo ya Rasilimali watu.
  • Kutoa ushauri kuhusu mikakati ya ukuaji wa ajira
  • Kutathimini mahitaji na matokeo ya taasisi za mafunzo kulingana na soko la ajira
  • Kuchambua takwimu na taarifa mbalimbali za kiuchumi na kuandaa sera  za uchumi jumla na mipango ya maendeleo ya Taifa na Mikoa.
  • Kutayarisha taarifa za mapitio ya mwenendo wa kiuchumi na kijamii za robo na nusu mwaka
  • Kuchambua mwenendo wa bajeti ya serikali na sekta ya fedha.
  • Kuandaa mfumo/mtindo wa uchambuzi na makisio ya vigezo vya uchumi jumla.
  • Kufatilia utekelezaji wa miradi/program za sekta mbalimbali.
  • Kufatilia utekelezaji wa Sera mbalimbali za kisekta na kutoa ushauri.
  • Kutathimini matokeo ya kimaendeleo kutokana na hatua zilizochukuliwa kushauri.
  • Kuratibu utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025.
  • Kuandaa mikakati na mipango ya maendeleo ya muda wa kati na mrefu.
  • Kutayarisha na kusimamia mifumo ya shughuli za mipango ya maendeleo.
  • Kuandaa taarifa mbalimbali zinazohitajika katika mamlaka za juu za Serikali.
  • Kusimamia shughuli za maendeleo katika kata maeneo yao.








Tangazo

  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO KWA VIKUNDI January 23, 2025
  • TANGAZO LA KAZI GEITA DC September 10, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA September 16, 2024
  • Geita Mamlaka za Wilaya na malmaka za miji GP DOM.pdf September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WANANCHI WAHIMIZWA KULINDA AMANI NA UTULIVU KUELEKEA UCHAGUZI MKUU-CPA AMOS MAKALLA

    May 20, 2025
  • RUSHWA NI JANGA LINALOATHIRI MAENDELEO YA KIUCHUMI, KIJAMII NA KISIASA NCHINI-RAS GOMBATI.

    May 13, 2025
  • GEITA YAPATA MAJIMBO MAPYA YA UCHAGUZI.

    May 12, 2025
  • ALAT MKOA WA GEITA WAMPONGEZA MKURUGENZI GEITA DC USIMAMIZI MZURI WA MIRADI

    May 10, 2025
  • Tazama zote

video

DED. WANGA AWATAKIA MTIHANI MWEMA WANAFUNZI WA KIDATO CHA NNE HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA WANAOJIANDAA KUFANYA MITIHANI YA TAIFA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Asili ya jina Geita
  • Fursa ya viwanda
  • Fursa ya madini
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA TANO NA VYUO VYA KATI, 2021
  • Vivutio vya Utalii
  • Miradi itakayotekelezwa
  • Miradi inayoendelea
  • Orodha ya wahe.Madiwani

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Bofya Hapa Kutuma,Kupokea na Kufuatilia Malalamiko,Mapendekezo,Maulizo na Pongezi Halmashauri ya Wilya ya Geita
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Watumishi Portal
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu(NBS)
  • Ofisi ya Rais TAMISEMI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter Widgets

Ramani ya Sehemu

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Geita

    Anuani ya Posta: S.L.P 139 Geita

    Simu: +225 282520061

    Mobile:

    Barua pepe: info@geitadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali na Majibu yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki@ Halmashauri ya wilaya ya Geita , Haki zote zimehifadhiwa