Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Geita anapenda kuwataarifu waombaji kazi wote kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 24.06.2025 hadi tarehe 28.06.2025. Kwa kupata majina ya walioitwa kwenye Usaili pakua tangazo kwenye kiunganishi hiki >>>>>>>TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI.pdf
Halmashauri ya Wilaya ya Geita
Anuani ya Posta: S.L.P 139 Geita
Simu: +225 282520061
Mobile:
Barua pepe: info@geitadc.go.tz
Hakimiliki@ Halmashauri ya wilaya ya Geita , Haki zote zimehifadhiwa