• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Halmashauri ya Wilaya ya Geita
Halmashauri ya Wilaya ya Geita

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
    • Historia
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
        • TASAF
      • Fedha na Biashara
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Elimu Msingi
        • Utamaduni
      • Elimu Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Manunuzi na Ugavi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • UKIMWI
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Madini
    • Viwanda
    • Biashara
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Uvuvi
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe.Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Elimu,Afya na Maji
      • UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Wahe.Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Ripoti mbalimbali
    • Sheria ndogo
    • Mpango mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi/kitaifa
    • Hotuba za viongozi
    • Maktaba ya Picha

Ujenzi


Kaimu Mkuu  wa Idara:

Wajibu na Majukumu  ya Idara;

Idara  ya ujenzi wilaya ya Geita pamoja na vitengo vyake ina wajibika katika majukumu ikiwa na malengo ya kutoa huduma zake za jamii kwa ajili ya kuinua maendeleo ya kiuchumi wa jamii katika wilaya kama ilivyo kusudiwa katika kuanzishwa kwake

  • Idara kupitia kitengo cha barabara ina wajibu kusimamia na kuhakikisha kuwa barabara zote katika ngazi ya mjini na vijijini zinapitika kwa mwaka mzima.
  • Idara ina wajibika kupitia kitengo cha barabara ikishirikiana na wadau wengine kubaini,kuandaa,kutathmini na kuchanganua mahitaji ya matengenezo ya mabarabara mapya na miundo mbinu mingine kama madaraja ya chini,madaraja makubwa, mabawa n.k.na kuziwasilisha kwenye mamlaka za juu kwa hatua zaidi.
  • Idara kupitia kitengo cha barabara ina wajibu wa kutayarisha bajeti za  mwaka za matengenezo ya barabara katika wilaya kwa mwaka wa fedha mwingine na kuziwasilisha wizarani.
  • Idara kupitia kitengo cha barabara inawajibu wa kuandaa nyaraka za mikataba za matengenezo ya barabara za wilaya. 
  • Idara kupitia kitengo cha barabara ina wajibu wa  kushirikisha,kuhusianisha na kuwa unga mkono wadau wengine,wafadhili ndani na nje ya wilaya katika masuala ya ushauri wa shughuli za ujenzi,usimamizi na matengenezo.
  • Idara kupitia kitengo cha barabara inao wajibu wa kuandaa usanifu wa awali na wa  kina wa mabarabara mapya na miundo mbinu mingine kwa utekelezaji zaidi katika wilaya
  • Idara kupitia kitengo cha majengo ikishirikiana na wadau wengine ina wajibu wa kukagua,kutathmini na kuchanganua kwa ajili ya matengenezo mapya na ukarabati wa majengo ya serikali na kuwasilisha taarifa kwa mamlaka za juu kwa ajili ya utekelezaji zaidi.
  • Idara kupitia kitengo cha majengo inahakikisha kuwa majengo na miundo mbinu nyinginezo za serikali ambazo zimejengwa kwa njia ya mikataba zinakidhi ubora kwa kuonyesha  uwepo wa thamani ya pesa zilizotumika kwakuwa na usimamizi na utoaji wa  ushauri wa kitaalam ulio makini.
  • Idara inawajibika kutoa huduma za ushauri wa kitaalam kwa wananchi waliopo wilayani zinazohusiana na majenzi.
  • Idara inao wajibu kuandaa,kutathmini,kuchanganua na kutunza kumbukumbu za mikataba kwa ajili ya ukaguzi.
  • Idara ina wajibu wa kufanya usanifu,kuandaa michoro na miongozo ya bajeti za majenzi (B.O.Q) zitakazohitajika kwa kwa ajili ya zabuni.
  • Idara huwajibika kuandaa bajeti za matengenezo ya majenzi mapya ya serikali na ukarabati wake kwa mwaka na kuziwasilisha wizarani kwa idhini.
  • Idara inao wajibu wa kuandaa taarifa za mwezi,robo na mwaka za miundombinu ya  barabara,majengo na zisizo majengo za mara kwa mara  kwa ajili ya kuwasilishwa kwenye mabaraza ya kamati za halmashauri au mamlaka ya juu zaidi kwa  manufaa ya utawala

Tangazo

  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO KWA VIKUNDI January 23, 2025
  • TANGAZO LA KAZI GEITA DC September 10, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA September 16, 2024
  • Geita Mamlaka za Wilaya na malmaka za miji GP DOM.pdf September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WANANCHI WAHIMIZWA KULINDA AMANI NA UTULIVU KUELEKEA UCHAGUZI MKUU-CPA AMOS MAKALLA

    May 20, 2025
  • RUSHWA NI JANGA LINALOATHIRI MAENDELEO YA KIUCHUMI, KIJAMII NA KISIASA NCHINI-RAS GOMBATI.

    May 13, 2025
  • GEITA YAPATA MAJIMBO MAPYA YA UCHAGUZI.

    May 12, 2025
  • ALAT MKOA WA GEITA WAMPONGEZA MKURUGENZI GEITA DC USIMAMIZI MZURI WA MIRADI

    May 10, 2025
  • Tazama zote

video

DED. WANGA AWATAKIA MTIHANI MWEMA WANAFUNZI WA KIDATO CHA NNE HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA WANAOJIANDAA KUFANYA MITIHANI YA TAIFA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Asili ya jina Geita
  • Fursa ya viwanda
  • Fursa ya madini
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA TANO NA VYUO VYA KATI, 2021
  • Vivutio vya Utalii
  • Miradi itakayotekelezwa
  • Miradi inayoendelea
  • Orodha ya wahe.Madiwani

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Bofya Hapa Kutuma,Kupokea na Kufuatilia Malalamiko,Mapendekezo,Maulizo na Pongezi Halmashauri ya Wilya ya Geita
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Watumishi Portal
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu(NBS)
  • Ofisi ya Rais TAMISEMI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter Widgets

Ramani ya Sehemu

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Geita

    Anuani ya Posta: S.L.P 139 Geita

    Simu: +225 282520061

    Mobile:

    Barua pepe: info@geitadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali na Majibu yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki@ Halmashauri ya wilaya ya Geita , Haki zote zimehifadhiwa