Posted on: August 13th, 2021
Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Geita John Paul Wanga ameshauri kuangalia namna ya kutoa hamasa kwa walimu kulingana na mazingira yao ili kuongeza ufanisi wa majukumu yao hali...
Posted on: August 12th, 2021
Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Geita John Paul Wanga amelishauri baraza la madiwani la Halmashauri ya wilaya ya Geita kufikiria kuwasaidia wachimbaji wadogowadogo kwa kujenga vyuo vya...
Posted on: August 11th, 2021
Mkuu wa wilaya ya Geita Mh Wilson Samwel Shimo amewatoa hofu wanafunzi wa shule ya Sekondari Lwezera, kufuatia ajali ya radi iliyotokea leo Agosti11, 2021 na kuwajeruhi wanafunzi 16 wa shule hiyo.
...