Posted on: August 12th, 2022
Na. Michael Kashinde
Mwenyekiti wa kamati ya Siasa Wilaya ya Geita Barnabas Mapande ametoa wito kwa viongozi mbalimbali kumsaidia Mhe. Rais Samia, kwa kusimamia vizuri fedha zinazokuja kwa ajili ya...
Posted on: August 11th, 2022
Na Michael Kashinde
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Geita Barnabas Mapande amewataka wahandisi wanaosimamia miradi mbalimbali ya Serikali kuongeza umakini katika usimamizi wa miradi hiy...
Posted on: August 5th, 2022
Na Michael Kashinde
Mkuu wa Wilaya ya Geita Mhe. Wilson Shimo akiwa na kamati ya ulinzi na usalama Wilaya ya Geita na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Geita Adv. John Wanga wak...