• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Halmashauri ya Wilaya ya Geita
Halmashauri ya Wilaya ya Geita

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
    • Historia
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
        • TASAF
      • Fedha na Biashara
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Elimu Msingi
        • Utamaduni
      • Elimu Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Manunuzi na Ugavi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • UKIMWI
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Madini
    • Viwanda
    • Biashara
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Uvuvi
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe.Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Elimu,Afya na Maji
      • UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Wahe.Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Ripoti mbalimbali
    • Sheria ndogo
    • Mpango mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi/kitaifa
    • Hotuba za viongozi
    • Maktaba ya Picha

Miradi itakayotekelezwa 2017/2018


Sekta ya Afya

  • Ujenzi wa matenki ya chini ya kuvunia maji ya mvua katika zahanati 20.
  • Ujenzi wa vichomea taka katika zahanati 24.
  • Ujenzi wa mashimo ya kutupia kondo la nyuma katika zahanati 19.
  • Kufanya ukarabati wa majengo 34 ya zahanati.
  • Kufanya upanuzi wa vyumba vya kujifungulia akina mama katika zahanati 6 za Fulwe,Mhalamba,Nkome,Kifufu,Lubangaand Chibingo.
  • Ujenzi wa vyoo 5 katika zahanati 5.
  • Ujenzi wa jengo la mama na mtoto katika zahanati ya Nkome.
  • Ukamilishaji wa ujenzi wa jengo la OPD na nyumba ya mtumishi zahanati ya Igate.
  • Ukamilishaji wa jengo la OPD,nyumba ya mtumishi,kichomea taka na shimo la kutupia kondo la nyuma katika zahanati ya Katoma.
  • Ujenzi wa nyumba ya mtumishi (2 in one) zahanati ya  Nyaruyeye .
  • Ujenzi wa  jengo la  RCH katika zahanati ya Bugulula.
  • Ujenzi wa nyumba ya mtumishi (2in one) zahanati ya  Nyawilimwilwa
  • Ujenzi wa choo,kichomea taka na shimo la kutupia konndo la nyuma zahanati ya Nyamilyango.
  • Ujenzi wa jengo la OPD nyumba ya mtumishi,choo,kichomea taka na shimo la kutupia kondo la nyuma zahanati ya Buziba.
  • Ukamilishaji wa jengo la OPD katika zahanati ya Isabilo.
  • Ukamilishaji wa nyumba ya mtumishi zahanati ya Isima.
  • Ujenzi wa jengo la OPD zahanati ya Itigili.
  • Ujenzi wa matenki ya chini ya kuvunia majii ya mvua katika vituo vya afya vya Bukoli,Chikobe na Kasota.
  • Kufanya ukarabati mdogo wa majengo  5  ya OPD katika vituo vya afya 5.
  • Kufanya upanuzi wa vyumba vya kujifungulia kkatika vituo vya afya  3  vya Nzera,Katoro na bukoli.
  • Ujenzi wa vichomea taka3  katika vituuo vya afya  vya Katoro,Nzera and Bukoli.
  • Ujenzi wa wodi,maabara,chumba cha upasuaji,chumba cha dawa na jengo la kuhifadhia maiti katika kituo cha afya cha Nzera.
  • Ujenzi wa uzio katika kituo cha afya Katoro.
  • Ujenzi wa uzio katika kituo cha afya Nzera.
  • Ujenzi wa jengo la upasuaji Kituo cha afya Katoro.
  • Ujenzi wa jengo la OPD zahanati ya Nkome
  • Ukamilishaji wa jengo la OPD zahanati ya Nyaruyeye.
  • Ujenzi wa jengo la OPDzahanati ya Kishinda.
  • Ununuzi wa majokofu ya kuhifadhia maiti.
  • Ujenzi wa jengo la OPD zahanati ya Kakubilo.
  • Ukamilishaji wa jengo la kituo cha afya  Nyawilimilwa.
  • Ujenzi wa jengo la upasuaji zahanati ya Kasota.
  • Ukamilishaji wa jengo la OPD zahanati ya Magenge.
  • Ujenzi wa nyumba 1 ya mtumishi kituo cha afya Bukoli.

Sekta ya Uvuvi

  • Ujenzi wa eneo la kuegesha magari  yanayochua samaki,kuweka umeme pamoja na mfumo wa maji katika mwalo wa samaki wa Nkome.
  • Ujenzi wa mwalo wa samaki wa Daladala.
  • Kufanya ukarabati wa mwalo wa samaki Senga mchangani.

Sekta ya  Ardhi

  • Kupima mipaka ya vijiji vya  Ngula, Nyakamwaga,Kasungamile, Ntono,Kanyalu and Nyamilyango.
  • Kupima maeneo ya uwekezaji katika miji ya  (Agricultural Industries)  Katoro,Lwamgasa,Bukoli, Nyarugusu na kata za  Isulwabutundwe  na  Bugando.
  • Kuandaa michoro 8 (TP) ya ramani ya viwanja katika miji ya  Katoro (3), Nyarugusu (2), Nkome(2) and Bukoli (1) .
  • Kupima viwanja 2,000 katika miji ya  Katoro (1500), Nyarugusu (250), na Nkome(250).

Sekta ya Maji Vijijini

  • Ukamilishaji wa ujenzi wa  miradi ya maji katika vijiji  4 vya Chankorongo, Chigunga, Chikobe and Kabugonzo .
  • Ujenzi wa miundombinu ya maji katika kijiji cha  Nkome .
  • Ujenzi wa miundombinu ya maji katika kijiji cha  Izumacheli.
  • Ujenzi wa miundombinu ya maji katika  mji wa  Katoro.
  • Ujenzi wa miundombinu ya maji katika kijiji cha  Nyarugusu.
  • Ujenzi wa miundombinu ya maji katika kijiji cha  Kakubilo.
  • Ujenzi wa miundombinu ya maji katika kijiji cha Nyamboge.
  • Kufanya ukarabati wa visima   katika kata  37 za Halmashuri ya Geita .

Sekta ya Mazingira

  • Ugawaji na upandaji wa miti katika taasisi za Serikali.

Sekta ya Ujenzi

  • Ukamilishaji wa ujenzi wa stendi ya Katoro.
  • Matengenezo ya barabara ya mara kwa mara Katoro -Lwamgasa - Nyarugusu(20km),Busandalwamgasa(16km), Bukolibujula-Nyamigogo(18km),Nyamalimbe-Ngula-Nyakagwe(15km),Bugulula- senga-Nyamboge(22km), Lubanga-Mkolani(10km),Rwezela-Idosela-Bugalama(16km) na Mtakuja-Isulwa(16km).
  • Matengenezo ya barabara sehemu korofi Bushishi-kamena(3km),Nyamali-Ngula-Nyakag(2km),Kamhanga Nyakaduhamwamitilwa( 6km), Busandalwamgasa(2km), Bukoli-Bujula Nyamigogo(3km),Busanda-Lubanga-Lwamgasa(4.8km),Rwezela-Idoselo Bugala(6km),Nyakadu-Igaka-kishi(4km),Chema-Nya(6km).
  • Kufanya matengenezo ya barabara ya muda maalum  Kakubilo-Sungusila- Mwamwitilwa(Lubanagamwamwitilwa (9km), Katoro-Nyabulolo- Nyamigogo(11km),Bukoli-Butobela-Nyakagwe(8km), kasota-bugalamamisri(10km),Busanda-Lubanga-Lwamgasa(5km),Bukoli-Ntono Ivunwa(5km),Magenge-Nyama-Kaseme
  • Kuweka vigingi vya hifadhi ya barabara.
  • Ujenzi wa stendi ya mabasi ya Nkome.
  • Ujenzi wa barabara za vijiji katika kata 37 kwa kutumia mitambo ya Halmashauri.
  • Ujenzi wa stendi ya mabasi ya Nyarugusu.
  • Kufanya ukarabati wa nyumba  2 za watumishi  ( DPLO's & DHRO').

Sekta ya TEHAMA

  • Ukamilishaji wa ujenzi wa kituo cha redio.

Sekta ya Elimu Sekondari

  • Ununuzi wa  seti ya meza na viti 1,320 .
  • Ujenzi wa vyumba vya madarasa katika sekondari  2 Katoro, 2 Nyankongochoro, 2 Lutozo,2 Lwezera, 2 Nyarugusu, na 2 Nkome .
  • Ujenzi wa miundombinu ya kidato cha 5 na 6  ( hostel,mfumo wa maji, vyoo na vyumba vya madarasa) katika shule 2  za sekondari za   Bugando na  Kamena.
  • Ukamilishaji wa vyumba  80 vya maabara katika sekondari 29.
  • Kuanzisha kidato cha 5 na 6 Kamena sekondari.
  • Kuanzisha kidato cha 5 na 6 Bugando sekondari.
  • Kuanzisha kidato cha 5 na 6 Kakubilo sekondari.
  • Ukamilishaji wa ujenzi wa hostel Kamhanga sekondari.
  • Ujenzi wa nyumba 1 ya mwalimu,vyoo matundu 10,ukarabati wa vyumba 2 vya madarasa na jengo la utawala. Bukondo Sekondari.
  • Ujenzi wa nyumba 1 ya mwalimu  Nyaruyeye sekondari.
  • Ujenzi wa nyumba 1 ya mwalimu,matundu 10  ya vyoo na chumba 1 cha darasa. Bujula Sekondari.
  • Ujenzi wa nyumba 1 ya mwalimu Busanda sekondari.
  • Ujenzi wa nyumba 1 ya mwalimu Lwemo sekondari.
  • Ujenzi wa nyumba 1 ya mwalimu Lubanga sekondari.
  • Ujenzi wa nyumba 1 ya mwalimu Kakubilo sekondari.
  • Ujenzi wa tenki 1 la maji Butobela sekondari.

Sekta ya Elimu Msingi

  • Ujenzi wa vyumba vya madarasa 9.

Sekta ya Kilimo

  • Kufanya ukarabati wa skimu ya umwagiliaji ya (Geita DC Co funding to ASDP)  kijiji cha Nyamalulu.
  • Ununuzi wa mashine ya kusindika muhogo kwa kikundi cha Chigunga Agri group.
  • Ununuzi wa mashine za kukamua mafuta ya alizeti kwa vijiji vya   Nyamigota, Kamhanga,Isulwabutundwe and Busanda.

Sekta ya Mifugo

  • Ujenzi wa mnada wa katoro(uzio,choo na miundombinu ya kupakilia na kupakulia mifugo).
  • Ujenzi wa machinjio za Katoro,Nkome,Nyarugusu na  Lwamgasa

Sekta ya Utawala

  • Ukamilishaji wa ofisi ya kata ya Nkome.
  • Ujenzi wa ofisi ya kata Ludete..
  • Ujenzi wa ofisi ya kata Butobela.

Tangazo

  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO KWA VIKUNDI January 23, 2025
  • TANGAZO LA KAZI GEITA DC September 10, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA September 16, 2024
  • Geita Mamlaka za Wilaya na malmaka za miji GP DOM.pdf September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WANANCHI WAHIMIZWA KULINDA AMANI NA UTULIVU KUELEKEA UCHAGUZI MKUU-CPA AMOS MAKALLA

    May 20, 2025
  • RUSHWA NI JANGA LINALOATHIRI MAENDELEO YA KIUCHUMI, KIJAMII NA KISIASA NCHINI-RAS GOMBATI.

    May 13, 2025
  • GEITA YAPATA MAJIMBO MAPYA YA UCHAGUZI.

    May 12, 2025
  • ALAT MKOA WA GEITA WAMPONGEZA MKURUGENZI GEITA DC USIMAMIZI MZURI WA MIRADI

    May 10, 2025
  • Tazama zote

video

DED. WANGA AWATAKIA MTIHANI MWEMA WANAFUNZI WA KIDATO CHA NNE HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA WANAOJIANDAA KUFANYA MITIHANI YA TAIFA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Asili ya jina Geita
  • Fursa ya viwanda
  • Fursa ya madini
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA TANO NA VYUO VYA KATI, 2021
  • Vivutio vya Utalii
  • Miradi itakayotekelezwa
  • Miradi inayoendelea
  • Orodha ya wahe.Madiwani

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Bofya Hapa Kutuma,Kupokea na Kufuatilia Malalamiko,Mapendekezo,Maulizo na Pongezi Halmashauri ya Wilya ya Geita
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Watumishi Portal
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu(NBS)
  • Ofisi ya Rais TAMISEMI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter Widgets

Ramani ya Sehemu

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Geita

    Anuani ya Posta: S.L.P 139 Geita

    Simu: +225 282520061

    Mobile:

    Barua pepe: info@geitadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali na Majibu yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki@ Halmashauri ya wilaya ya Geita , Haki zote zimehifadhiwa