Posted on: November 11th, 2021
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Geita John Paul Wanga ameshauri baraza la madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Geita kuwashirikisha watendaji wa kata katika vikao hivyo ili waone uwasi...
Posted on: October 7th, 2021
Halmashauri ya Wilaya ya Geita imeamua kuunda kamati za ufuatiliaji, ujenzi, manunuzi na mapokezi kwa ajili ya kuratibu shughuli za ujenzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo ili kuongeza ufanisi katika...
Posted on: October 5th, 2021
Baraza la madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Geita limepitisha mapendekezo ya mpango na bajeti ya wajibu wa kampuni kwa jamii (CSR) kwa mwaka 2021 wenye jumla ya shilingi bilioni 4 na milioni 300.
...