Posted on: June 12th, 2022
Mkuu wa Wilaya ya Geita Mhe. Wilson Shimo ametoa wito kwa wananchi wanaofanya shughuli za uvuvi na usafirishaji kufuata taratibu na sheria zilizowekwa na Serikali kwa lengo la kulinda usalama wa raia ...
Posted on: June 11th, 2022
Serikali kupitia Mpango wake wa kunusuru kaya masikini wa TASAF imekuwa ikitoa kiasi cha Shilingi 11,036,000 kila awamu kwa ajili ya kusaidia jumla ya kaya 267 za vijiji vya Ntinachi na Nyawilimilwa a...
Posted on: June 6th, 2022
Baada ya kukutana na Wadau mbalimbali wa Elimu kuanzia ngazi za Vijiji, na Kata, Shirika la Plan International June 02, 2022 lilikutana na Wadau wa Elimu ngazi ya Halmashauri katika ukumbi wa Halmasha...