Posted on: February 23rd, 2022
Waheshimiwa Madiwani pamoja na watendaji wa kata zote za Halmashauri ya Wilaya ya Geita, wamepatiwa mafunzo maalumu leo tarehe 23 februari, 2022 ya kuwaongezea uelewa kuhusu utekelezaji wa zoezi...
Posted on: February 19th, 2022
Wajumbe wa mkutano wa Halmashauri kuu ya Chama Cha Mapinduzi - CCM Wilaya ya Geita leo februari 19, mwaka 2022 wameridhishwa na namna viongozi wa serikali wanavyotekeleza Ilani ya CCM ya mwaka 2...
Posted on: February 7th, 2022
Wakala wa Barabara za Mji na Vijijini (TARURA) Kwa mwaka wa fedha 2022/2023 imepanga kufanya matengenezo ya barabara na madaraja kwa Kiasi cha shilingi 7,118,678,127 kutoka fedha za mfuko wa Barabara ...