Posted on: February 6th, 2025
Wahudumu wa Afya na Lishe Wilayani Geita, wamehimizwa kutoa elimu sahihi juu ya umuhimu wa chanjo kwa watoto, ili kuondokana na tatizo la magonjwa nyemelezi pindi mtoto akiwa katika hatua za ukuaji.
...
Posted on: February 4th, 2025
Nzera-Geita
Timu iliyokuwa ikitekeleza Kampeni ya Msaada wa Kisheria ijulikanayo kama Mama Samia Legal Aid Compaign leo Februari 4,2025 imekabidhi repoti yake ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Halmashau...
Posted on: February 4th, 2025
Nzera-Geita
VIONGOZI wa Serikali za Mitaa na Watumishi Viongozi Halmashauri ya Wilaya ya Geita, Februari 4,2025 wamepewa mafunzo ya Uraia na utawala bora ili kuwajengea uelewa mpana katika Ut...