Posted on: December 8th, 2023
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Geita Karia Rajab Magaro amewaagiza wakuu wa shule za sekondari kuchukua hatua kwa walimu wanaoshindwa kuwajibika kutekeleza majukumu yao.
Agizo hil...
Posted on: December 2nd, 2023
Na Hendrick Msangi.
MKUU wa Mkoa wa Geita, Mhe Martine Shigela, Desemba mosi amekabidhi zawadi kwa watoto wanaoishi kaya masikini na zile ambazo zimeathiriwa na maambukizi ya virusi vya UKIMWI.
...
Posted on: December 1st, 2023
Waziri wa wizara ya maendeleo ya jamii, jinsia wanawake na makundi Maalum Dk. Dorothy Gwajima ameonesha kufurahishwa na huduma zinazotolewa na benki ya biashara Tanzania Tcb kwa kuwa zinalenga pia mak...