Posted on: December 21st, 2023
Na Hendrick Msangi
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Mohamed Omary Mchengerwa (MB), Desemba 16, 2023 amefanya ziara ya kikazi Mkoani Geita ambapo katika ziara ...
Posted on: December 8th, 2023
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Geita Karia Rajab Magaro amewaagiza wakuu wa shule za sekondari kuchukua hatua kwa walimu wanaoshindwa kuwajibika kutekeleza majukumu yao.
Agizo hil...
Posted on: December 2nd, 2023
Na Hendrick Msangi.
MKUU wa Mkoa wa Geita, Mhe Martine Shigela, Desemba mosi amekabidhi zawadi kwa watoto wanaoishi kaya masikini na zile ambazo zimeathiriwa na maambukizi ya virusi vya UKIMWI.
...