Posted on: February 1st, 2024
Halmashauri ya Wilaya ya Geita, imefanya uzinduzi wa Programu Jumuishi ya Taifa ya Malezi, Makuzi na Maendeleo ya Awali ya Mtoto –PJT-MMMAM leo Februari Mosi, 2024.
Uzinduzi huo umefanyika ma...
Posted on: January 26th, 2024
Na Hendrick Msangi.
Mkuu wa Wilaya ya Geita ndg Cornel Magembe amefanya kikao Shule ya Msingi Nyansalala iliyoko Kata ya Bukondo Halmashauri ya wilaya ya Geita kufuatia taarifa zilizo sambaa ...
Posted on: January 19th, 2024
Na Hendrick Msangi
BARAZA LA MADIWANI Halmashauri ya Wilaya ya Geita Januari 19, 2024 limepitisha mpango na Bajeti kwa mwaka 2024/2025 katika kikao chake kilichiofanyika kwenye ukumbi wa mikutano u...