
RC SENYAMULE AIPONGEZA GEITA DC KWA KUPATA HATI SAFI
Posted on: June 23rd, 2022
Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhe. Rosemary Senyamule ameipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Geita kwa kupata hati safi katika ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa hesabu za Serikali CAG kwa mwaka wa...