Posted on: April 4th, 2024
Na: Hendrick Msangi
MAADHIMISHO ya siku ya Afya na Lishe na Uzinduzi wa chanjo Kiwilaya yamefanyika Aprili 4, 2024 katika kata ya Lwezera na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa chama, serikali na...
Posted on: March 24th, 2024
Na:Hendrick Msangi
MKUU wa Wilaya ya Geita Mhe Hashim Abdallah Komba amefanya ziara kata za Lwamgasa ikiwa ni sehemu ya kujitambulisha kwa wananchi Wilayani Geita pamoja na kusikiliza Kero za ...
Posted on: March 23rd, 2024
Na:Hendrick Msangi
WANANCHI wa Kata ya Nkome Halmashauri ya Wilaya ya Geita wamesisitizwa kujenga utamadini wa kuchangia pato la Taifa ili kuendelea kuijenga halmashauri kwa kuendelea kulipa t...