• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Halmashauri ya Wilaya ya Geita
Halmashauri ya Wilaya ya Geita

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
    • Historia
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
        • TASAF
      • Fedha na Biashara
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Elimu Msingi
        • Utamaduni
      • Elimu Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Manunuzi na Ugavi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • UKIMWI
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Madini
    • Viwanda
    • Biashara
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Uvuvi
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe.Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Elimu,Afya na Maji
      • UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Wahe.Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Ripoti mbalimbali
    • Sheria ndogo
    • Mpango mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi/kitaifa
    • Hotuba za viongozi
    • Maktaba ya Picha

MSIRUDISHE WANAFUNZI NYUMBANI KWA SABABU YA MICHANGO – MHE. SHIGELA

Posted on: May 24th, 2025

Geita, Mei 2025

Mkuu wa Mkoa wa Geita, Mhe. Martine Shigela, amepiga marufuku vitendo vya kuwarudisha wanafunzi nyumbani kwa sababu ya michango inayokubaliwa na wazazi katika ngazi ya kijiji au kitongoji, akisisitiza kuwa haki ya mtoto kupata elimu ni ya msingi na haihusishwi na michango.

Akizungumza katika ziara ya siku moja aliyoifanya kwenye kata za Nyamigota na Nyamwilolelwa, Mhe. Shigela amesema kuwa uamuzi wowote kuhusu michango unapaswa kutekelezwa kwa kushirikisha wazazi bila kuathiri masomo ya watoto.

Katika kata ya Nyakagomba, Mkuu huyo wa Mkoa alitembelea bwalo la chakula la Shule ya Sekondari Butundwe, ambalo limekamilika na kuanza kutumika, likigharimu zaidi ya shilingi milioni 366 kupitia mpango wa Uwajibikaji wa Makampuni kwa Jamii (CSR) kwa mwaka 2021/2022. Mhandisi wa Halmashauri, Bi. Beatrice Mwaitete, alisema bwalo hilo litasaidia wanafunzi kupata mazingira salama ya kula chakula na kuokoa muda wa masomo.

Aidha, Mhe. Shigela alifanya mikutano ya hadhara katika kijiji cha CCM (kata ya Nyakagomba) na Saragulwa (kata ya Nyamwilolelwa), ambapo alikagua pia ujenzi wa ofisi ya kata ya Nyamwilolelwa unaogharimu zaidi ya shilingi milioni 94 kupitia mapato ya ndani ya Halmashauri.

Akizungumza kuhusu maendeleo, Mhe. Shigela alisifu kata ya Nyakagomba kwa jitihada za upandaji miti na maendeleo ya mtu mmoja mmoja, akisema, “Nimejionea maendeleo ya kweli kwa watu binafsi; nyumba nzuri na miti iliyopandwa ni viashiria vya maendeleo.”

Kwa upande wake, Diwani wa kata ya Nyamigota na Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Geita, Mhe. Khadija Saidi, aliipongeza serikali kwa dhamira yake ya kukamilisha miradi ya maendeleo kwa kushirikiana na ofisi ya Mkuu wa Wilaya.

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri, Ndg. Karia Magaro, alisema miradi yenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 59 imetekelezwa ndani ya miaka minne ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ikihusisha sekta za afya, elimu na miundombinu.

Naye Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Kamishna Msaidizi Mwandamizi Sophia Jongo, alisema matukio ya wizi wa mifugo yamepungua baada ya kuanzishwa kwa ulinzi shirikishi. Aidha, alikemea vikali vitendo vya ushirikina, hasa kwa waganga wa kienyeji wanaopiga ramli chonganishi na kutumia viungo vya binadamu, akionya kuwa vitendo hivyo ni kinyume cha sheria.

Katika ziara hiyo, Mkuu wa Mkoa pia alisikiliza na kutoa majibu kwa changamoto mbalimbali zikiwemo maji, miundombinu na ongezeko la mbwa wa mitaani wanaohatarisha usalama wa wananchi.

Tangazo

  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO KWA VIKUNDI January 23, 2025
  • TANGAZO LA KAZI GEITA DC September 10, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA September 16, 2024
  • Geita Mamlaka za Wilaya na malmaka za miji GP DOM.pdf September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MSIRUDISHE WANAFUNZI NYUMBANI KWA SABABU YA MICHANGO – MHE. SHIGELA

    May 24, 2025
  • AFYA, ELIMU, MAJI, KUENDELEA KUPEWA KIPAUMBELE GEITA.

    May 17, 2025
  • WANANCHI WAHIMIZWA KULINDA AMANI NA UTULIVU KUELEKEA UCHAGUZI MKUU-CPA AMOS MAKALLA

    May 20, 2025
  • RUSHWA NI JANGA LINALOATHIRI MAENDELEO YA KIUCHUMI, KIJAMII NA KISIASA NCHINI-RAS GOMBATI.

    May 13, 2025
  • Tazama zote

video

DED. WANGA AWATAKIA MTIHANI MWEMA WANAFUNZI WA KIDATO CHA NNE HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA WANAOJIANDAA KUFANYA MITIHANI YA TAIFA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Asili ya jina Geita
  • Fursa ya viwanda
  • Fursa ya madini
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA TANO NA VYUO VYA KATI, 2021
  • Vivutio vya Utalii
  • Miradi itakayotekelezwa
  • Miradi inayoendelea
  • Orodha ya wahe.Madiwani

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Bofya Hapa Kutuma,Kupokea na Kufuatilia Malalamiko,Mapendekezo,Maulizo na Pongezi Halmashauri ya Wilya ya Geita
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Watumishi Portal
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu(NBS)
  • Ofisi ya Rais TAMISEMI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter Widgets

Ramani ya Sehemu

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Geita

    Anuani ya Posta: S.L.P 139 Geita

    Simu: +225 282520061

    Mobile:

    Barua pepe: info@geitadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali na Majibu yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki@ Halmashauri ya wilaya ya Geita , Haki zote zimehifadhiwa