• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Halmashauri ya Wilaya ya Geita
Halmashauri ya Wilaya ya Geita

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
    • Historia
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
        • TASAF
      • Fedha na Biashara
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Elimu Msingi
        • Utamaduni
      • Elimu Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Manunuzi na Ugavi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • UKIMWI
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Madini
    • Viwanda
    • Biashara
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Uvuvi
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe.Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Elimu,Afya na Maji
      • UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Wahe.Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Ripoti mbalimbali
    • Sheria ndogo
    • Mpango mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi/kitaifa
    • Hotuba za viongozi
    • Maktaba ya Picha

MHE. WASIRA: AJENDA YA SERIKALI NI KUSIMAMIA MAENDELEO YA WANANCHI.

Posted on: June 18th, 2025

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ngazi ya Taifa, Mhe. Steven Wasira, amesema kuwa, mojawapo ya ajenda kuu ya Serikali ya Awamu ya Sita ni pamoja na kuhakikisha inasimamia vyema maendeleo ya wananchi ili kusudi iweze kuleta maisha bora kwa kila Mtanzania.


Akizungumza Juni 17 katika mwendelezo wa ziara yake ya Kanda ya Ziwa eneo la Mji Mdogo Katoro, Mhe. Wasira amesema kuwa, CCM ikiwa kama chama kilichobeba matumaini ya Watanzania, kina wajibu wa kusikiliza wananchi, na kuwaletea maendeleo kwa vitendo kwa kuwa ndicho chama kilichopo madarakani.

Mhe. Wasira pia ameongeza kwa kusema kuwa, tangu Serikali ya Awamu ya Sita, chini ya Raisi  Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan iingie madarakani, imeweza kukamilisha Miradi mikubwa ikiwemo Reli ya Mwendokasi (SGR), Bwawa la Kufulia Umeme la Mwalimu Nyerere (JNHPP), pamoja na Daraja la Busisi ambalo linatarajiwa kuanza kutumika hivi karibuni.

Aidha, ameongeza kwa kuipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Geita kwa kusimamia ujenzi wa Shule mpya za Msingi Saba (7), pamoja na za ngazi ya Sekondari Tisa (9) eneo la Katoro, huku pia Serikali ikiwa mbioni kuboresha huduma za Maji kwa kuunganisha mabomba kutoka kijiji cha Chankorongo, kuja Katoro.

Tangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI. June 05, 2025
  • TANGAZO LA KAZI GEITA DC September 10, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA September 16, 2024
  • Geita Mamlaka za Wilaya na malmaka za miji GP DOM.pdf September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MHE. WASIRA: AJENDA YA SERIKALI NI KUSIMAMIA MAENDELEO YA WANANCHI.

    June 18, 2025
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA YAPATA HATI SAFI, MHE. FATMA APONGEZA USIMAMIZI WA FEDHA ZA UMMA.

    June 13, 2025
  • UFUATILIAJI WAHIMIZWA KWENYE USIMAMIZI WA MIRADI WILAYA YA GEITA

    June 12, 2025
  • MKURUGENZI ASISITIZA HATUA KUCHUKULIWA KUDHIBITI UTORO SHULENI.

    June 05, 2025
  • Tazama zote

video

DED. WANGA AWATAKIA MTIHANI MWEMA WANAFUNZI WA KIDATO CHA NNE HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA WANAOJIANDAA KUFANYA MITIHANI YA TAIFA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Asili ya jina Geita
  • Fursa ya viwanda
  • Fursa ya madini
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA TANO NA VYUO VYA KATI, 2021
  • Vivutio vya Utalii
  • Miradi itakayotekelezwa
  • Miradi inayoendelea
  • Orodha ya wahe.Madiwani

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Bofya Hapa Kutuma,Kupokea na Kufuatilia Malalamiko,Mapendekezo,Maulizo na Pongezi Halmashauri ya Wilya ya Geita
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Watumishi Portal
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu(NBS)
  • Ofisi ya Rais TAMISEMI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter Widgets

Ramani ya Sehemu

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Geita

    Anuani ya Posta: S.L.P 139 Geita

    Simu: +225 282520061

    Mobile:

    Barua pepe: info@geitadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali na Majibu yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki@ Halmashauri ya wilaya ya Geita , Haki zote zimehifadhiwa