Posted on: December 30th, 2025
Katika jitihada za kutatua changamoto ya uhaba wa madawati katika shule mbalimbali za msingi, Halmashauri ya Wilaya ya Geita imeamua kutumia mapato yake ya ndani kugharamia ununuzi wa madawati hayo.
...
Posted on: December 21st, 2025
Serikali imesema kuwa, itaenda kushughulikia changamoto kwenye sekta za Afya, Elimu, pamoja na miundombinu ya Barabara ambazo zimekua zikiikumba Kata ya Lwamgasa.
Hayo yamebainishwa na Naibu Wazir ...
Posted on: December 20th, 2025
Naibu Wazir kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu-TAMISEMI, anayeshughulikia masuala ya Afya, Mhe. Dkt Jafari Rajabu, ametembelea na kukagua ujenzi wa mradi wa Kituo cha Afya kilichopo Kata ya Lwamgasa, na kuip...