Mhe. Balozi Dkt Moses Kusiluka akizungumza na Maafisa habari wa Serikali alipofungua kikao kazi cha kitaifa cha Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais na maafisa habari wa Serikali kilichofanyika jijini Dar es salaam Disemba 17 2025.
Kikao hiki kilichoandaliwa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais kimelenga kuwajengea uwezo maafisa habari wa kuitanganza Serikali kupitia miradi mbalimbali ambayo inatekelezwa na Serikali.
Kauli mbiu ikiwa ni Utu na Mawasiliano yenye uwajibikaji.
Halmashauri ya Wilaya ya Geita
Anuani ya Posta: S.L.P 139 Geita
Simu: +225 282520061
Mobile:
Barua pepe: info@geitadc.go.tz
Hakimiliki@ Halmashauri ya wilaya ya Geita , Haki zote zimehifadhiwa