Posted on: August 29th, 2025
Timu za watumishi kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Geita zimeibuka gumzo jijini Tanga baada ya kufanya vizuri katika Michezo ya Watumishi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa Tanzania (SHIMISEMITA) 2025.
...
Posted on: August 26th, 2025
Mkuu wa Wilaya ya Geita, Mhe. Hashim Komba, amefanya ukaguzi wa maandalizi ya mapokezi ya Mwenge wa Uhuru unaotarajiwa kuwasili Septemba 1, 2025. Katika ziara hiyo, Mkuu wa Wilaya aliambatana...
Posted on: August 23rd, 2025
Mashindano ya Michezo ya Watumishi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa Tanzania (SHIMISEMITA) yaliyoanza kutimua Vumbi Agosti 15 Jijini Tanga yamezinduliwa rasmi leo Agosti 23,2025.
Akizungumza katika ...