Mwonekano wa Mradi ukiwa katika hatua ya kozi ya nne kuelekea kufungwa lenta ya kati tarehe 19/11/2021
Mwonekano wa Mradi baada ya baadhi ya vyumba vya madarasa kufungwa lenta ya kati ukiwa katika hatua ya kuendelea kujenga tofali tarehe 21/11/2021
Mwonekano wa baadhi ya vyumba vya madarasa Mradi ukiwa katika hatua ya boma kuelekea lenta ya juu tarehe 24/11/2021
Mwonekano wa baadhi ya vyumba vya madarasa Mradi ukiwa katika hatua ya boma kuelekea lenta ya juu tarehe 30/11/2021
Halmashauri ya Wilaya ya Geita
Anuani ya Posta: S.L.P 139 Geita
Simu: +225 282520061
Mobile:
Barua pepe: info@geitadc.go.tz
Hakimiliki@ Halmashauri ya wilaya ya Geita , Haki zote zimehifadhiwa