Mradi wa ujenzi wa vyumba vitano (5) vya madarasa katika shule ya Sekondari Lwamgasa
Mwonekano wa vyumba vya madarasa Mradi ukiwa katika hatua ya lenta ya pili kwa madarasa mawili na lenta nya kwanza kwa madarasa matatu tarehe 25/11/2021
Mwonekano wa vyumba vya madarasa Mradi ukiwa katika hatua ya lenta ya juu tarehe 27/11/2021