Mradi ukiwa katika hatua ya Msingi kwa madarasa matatu tarehe 19/11/2021.
Mradi ukiwa katika hatua ya kunyanyua boma kozi ya tatu kwa vyumba vitatu vya madarasa tarehe 19/11/2021.
Mwonekano wa vyumba vya madarasa Mradi ukiwa katika hatua ya kuelekea lenta ya juu 30/11/2021