Mradi wa ujenzi wa vyumba kumi na vinne (14) vya madarasa katika shule ya Sekondari Isingiro
Mwonekano wa vyumba vya madarasa Mradi ukiwa katika hatua ya lenta ya
pili kwa madarasa sita, madarasa matano yanafungwa lenta ya kati na madarasa mawili yanaendelea kupandishwa boma tarehe 24/11/2021
Mwonekano wa vyumba vya madarasa Mradi ukiwa hatua ya lenta ya juu 27/11/2021