• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Halmashauri ya Wilaya ya Geita
Halmashauri ya Wilaya ya Geita

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
    • Historia
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
        • TASAF
      • Fedha na Biashara
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Elimu Msingi
        • Utamaduni
      • Elimu Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Manunuzi na Ugavi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • UKIMWI
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Madini
    • Viwanda
    • Biashara
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Uvuvi
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe.Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Elimu,Afya na Maji
      • UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Wahe.Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Ripoti mbalimbali
    • Sheria ndogo
    • Mpango mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi/kitaifa
    • Hotuba za viongozi
    • Maktaba ya Picha

TASAF Yaimarisha Miradi Mikubwa ya Maendeleo Halmashauri Wilaya ya Geita.

Posted on: June 24th, 2019

Mpango wa kunusuru kaya masikini (TASAF III) ambao unatekelezwa  katika sehemu mbalimbali umekuwa na mafanikio makubwa ambapo walengwa sabini na nne (74) katika kijiji cha Nyambaya ndani ya  Halmashauri ya Wilaya ya Geita kata ya katoma wamenufaika.

Katika kuhakisha maendeleo ya Tanzania yanakuwa na kuimarisha uchumi wa kati kupitia viwanda ifikapo 2025, Miradi mikubwa ya kilimo imezidi kuwa na tija ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Geita.

Miradi ya kilimo cha zao la Nanasi,Mahindi na Mpunga ni miongoni mwa miradi inayotekelezwa na walengwa wa Mpango wa TASAF III ndani ya Halmshauri ya Wilaya ya Geita,huku fedha hizo pia zikiwanufaisha katika Mifugo na kuendesha vikundi vya mikopo vinavyowapa asilimi kumi (10%) kila mwezi hali inayowaongezea tija katika maendeleo.

Akiwa katika ziara ya kikazi Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhandisi Robert Gabriel amewapongeza walengwa hao kwa hatua ya kujikwamua na kuendeleza miradi inayoleta tija kwa taifa na amewaasa wataalamu mbalimbali kutoka katika halmshauri kuwapatia mbinu mbadala walengwa ili kuongeza ufanisi katika undeshaji wa miradi hiyo.

Mhandisi Gabriel aliembatana na Kaimu mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Geita Ndugu,January Bikuba na wajumbe wa mpango wa TASAF III Wilaya na  Mkoa, amepokea salamu za pongezi kutoka kwa walengwa hao kwenda kwa Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania inayoongozwa na Dkt John Pombe Magufuli kwa namna wanavyotekeleza mpango huo.

Mpango huo ulianza Mwaka 2015 ambao hadi sasa ni awamu ya ishirini na mbili (22) na umekamilisha miaka minne (4) ya tathimini na kuongeza weledi kwa walengwa kwani wamejiunga katika mfuko wa bima ya Afya na kuwekeza hisa,  hadi sasa wana jumla ya Shilingi Milioni moja na laki sita(Tsh.1,600,000) Kutokana na marejesho ya wanakikundi.

Tangazo

  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO KWA VIKUNDI January 23, 2025
  • TANGAZO LA KAZI GEITA DC September 10, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA September 16, 2024
  • Geita Mamlaka za Wilaya na malmaka za miji GP DOM.pdf September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • DC KOMBA ARIDHISHWA NA UTEKEKEZAJI WA MIRADI KUELEKEA MBIO ZA MWENGE WA UHURU 2025.

    May 06, 2025
  • MEI MOSI YALETA FARAJA KWA MAAFISA TARAFA GEITA.

    May 02, 2025
  • RC SHIGELA AIBUA MATUMAINI MAPYA KWA WATUMISHI MKOANI GEITA.

    May 02, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI GEITA DC LAMPONGEZA MKURUGENZI MTENDAJI KWA KUPATA HATI SAFI

    April 30, 2025
  • Tazama zote

video

DED. WANGA AWATAKIA MTIHANI MWEMA WANAFUNZI WA KIDATO CHA NNE HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA WANAOJIANDAA KUFANYA MITIHANI YA TAIFA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Asili ya jina Geita
  • Fursa ya viwanda
  • Fursa ya madini
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA TANO NA VYUO VYA KATI, 2021
  • Vivutio vya Utalii
  • Miradi itakayotekelezwa
  • Miradi inayoendelea
  • Orodha ya wahe.Madiwani

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Bofya Hapa Kutuma,Kupokea na Kufuatilia Malalamiko,Mapendekezo,Maulizo na Pongezi Halmashauri ya Wilya ya Geita
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Watumishi Portal
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu(NBS)
  • Ofisi ya Rais TAMISEMI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter Widgets

Ramani ya Sehemu

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Geita

    Anuani ya Posta: S.L.P 139 Geita

    Simu: +225 282520061

    Mobile:

    Barua pepe: info@geitadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali na Majibu yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki@ Halmashauri ya wilaya ya Geita , Haki zote zimehifadhiwa