• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Halmashauri ya Wilaya ya Geita
Halmashauri ya Wilaya ya Geita

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
    • Historia
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
        • TASAF
      • Fedha na Biashara
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Elimu Msingi
        • Utamaduni
      • Elimu Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Manunuzi na Ugavi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • UKIMWI
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Madini
    • Viwanda
    • Biashara
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Uvuvi
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe.Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Elimu,Afya na Maji
      • UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Wahe.Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Ripoti mbalimbali
    • Sheria ndogo
    • Mpango mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi/kitaifa
    • Hotuba za viongozi
    • Maktaba ya Picha

MAJINA YA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI KATIKA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA YATANGAZWA

Posted on: September 16th, 2024

Msimamizi wa Uchaguzi Serikali za Mitaa ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Geita ndg Karia Rajabu Magaro leo September 16,2024 ametangaza majina na mipaka ya Vijiji na vitongoji ili kuwafahamisha Wananchi majina ya maeneo na mipaka ambayo itahusika katika kujiandikisha na upigaji wa kura katika Uchaguzi wa Serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024.

Msimamizi wa uchaguzi ngazi ya Halmashauri Ndg. Karia Magaro akimkabidhi mwakilishi wa watendaji wa kata hati ya maeneo ya utawala wa uchaguzi wa serikali za Mitaa.

Halmashauri ya Wilaya ya Geita ina  majimbo mawili ya Uchaguzi ambayo ni Jimbo la Busanda lenye jumla ya Kata 22 na Tarafa 2 huku Jimbo la Geita  likiwa na Jumla ya Kata 15, Tarafa 2.

Katika Kikao hicho kilichowakutanisha Watendaji wa Kata, wajumbe wa vyama vya siasa, wasimamizi wa Uchaguzi ngazi ya Halmashauri, Waheshimiwa Madiwani, Mwenyekiti wa Halmashauri, imeelezwa kuwa Halmashauri ya Wilaya ya Geita ina jumla ya Tarafa 4, kata 37, Vijiji 145 na vitongoji 593.

Wajumbe wa vyama via siasa na wasimamizi wa uchaguzi ngazi ya halmashauri na waheshimiwa madiwani wakiwa katika kikao cha kupokea tangazo la Maeneo ya utawala katika kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa. 

Pamoja na hayo Msimamizi wa Uchaguzi ndg Karia Rajabu Magaro amewataka watendaji hao kwa niaba ya Wananchi kubandika Tangazo hilo katika maeneo yote yanayohusika.

Msimamizi wa uchaguzi ngazi ya Halmashari Nag. Karia Magaro ( kushoto) akiwa na Mwenyekiti wa Halmashauri Mhe. Charles Kazungu ( kulia) katika kikao cha kutanganza maeneo ya utawala wa uchaguzi wa Serikali za mitaa.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Geita Mhe Charles Kazungu ametoa rai kwa wajumbe hao kufanya kazi kama sheria, taratibu na kanuni za Uchaguzi zinavyoelekeza ili kutimiza wajibu kama tume ilivyo waamini Kutekeleza majukumu ya Uchaguzi.

Tangazo

  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO KWA VIKUNDI January 23, 2025
  • TANGAZO LA KAZI GEITA DC September 10, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA September 16, 2024
  • Geita Mamlaka za Wilaya na malmaka za miji GP DOM.pdf September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • DC KOMBA ARIDHISHWA NA UTEKEKEZAJI WA MIRADI KUELEKEA MBIO ZA MWENGE WA UHURU 2025.

    May 06, 2025
  • MEI MOSI YALETA FARAJA KWA MAAFISA TARAFA GEITA.

    May 02, 2025
  • RC SHIGELA AIBUA MATUMAINI MAPYA KWA WATUMISHI MKOANI GEITA.

    May 02, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI GEITA DC LAMPONGEZA MKURUGENZI MTENDAJI KWA KUPATA HATI SAFI

    April 30, 2025
  • Tazama zote

video

DED. WANGA AWATAKIA MTIHANI MWEMA WANAFUNZI WA KIDATO CHA NNE HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA WANAOJIANDAA KUFANYA MITIHANI YA TAIFA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Asili ya jina Geita
  • Fursa ya viwanda
  • Fursa ya madini
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA TANO NA VYUO VYA KATI, 2021
  • Vivutio vya Utalii
  • Miradi itakayotekelezwa
  • Miradi inayoendelea
  • Orodha ya wahe.Madiwani

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Bofya Hapa Kutuma,Kupokea na Kufuatilia Malalamiko,Mapendekezo,Maulizo na Pongezi Halmashauri ya Wilya ya Geita
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Watumishi Portal
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu(NBS)
  • Ofisi ya Rais TAMISEMI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter Widgets

Ramani ya Sehemu

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Geita

    Anuani ya Posta: S.L.P 139 Geita

    Simu: +225 282520061

    Mobile:

    Barua pepe: info@geitadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali na Majibu yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki@ Halmashauri ya wilaya ya Geita , Haki zote zimehifadhiwa