Mwonekano wa mradi wa chumba cha darasa tarehe 15/10/2022 mradi ukiwa katika hatua kuchimba msingi
Mwonekano wa mradi wa chumba cha darasa tarehe 17/10/2022 mradi ukiwa katika hatua msingi
Mwonekano wa mradi wa chumba cha darasa tarehe 18/10/2022 mradi ukiwa katika hatua ya kuweka kifusi na kusuka beam za mkanda wa msingi.
Mwonekano wa mradi wa chumba cha darasa tarehe 19/10/2022 mradi ukiwa katika hatua ya kutinda mawe
Mwonekano wa mradi wa chumba cha darasa tarehe 21/10/2022 mradi ukiwa katika hatua ya kumwaga jamvi na kuseti boma
Mwonekano wa mradi wa chumba cha darasa tarehe 23/10/2022 mradi ukiwa katika hatua kya kumwaga jamvi
Mwonekano wa mradi wa chumba cha darasa tarehe 24/10/2022 mradi ukiwa katika hatua ya kuinua boma
Mwonekano wa mradi wa chumba cha darasa tarehe 24/10/2022 mradi ukiwa katika hatua ya kufunga lenta ya kwanza
Halmashauri ya Wilaya ya Geita
Anuani ya Posta: S.L.P 139 Geita
Simu: +225 282520061
Mobile:
Barua pepe: info@geitadc.go.tz
Hakimiliki@ Halmashauri ya wilaya ya Geita , Haki zote zimehifadhiwa