• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Halmashauri ya Wilaya ya Geita
Halmashauri ya Wilaya ya Geita

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
    • Historia
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
        • TASAF
      • Fedha na Biashara
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Elimu Msingi
        • Utamaduni
      • Elimu Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Manunuzi na Ugavi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • UKIMWI
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Madini
    • Viwanda
    • Biashara
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Uvuvi
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe.Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Elimu,Afya na Maji
      • UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Wahe.Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Ripoti mbalimbali
    • Sheria ndogo
    • Mpango mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi/kitaifa
    • Hotuba za viongozi
    • Maktaba ya Picha

MSUKUMO WATOLEWA UKAMILISHAJI WA MIRADI YENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 763.6 GEITA DC

Posted on: June 5th, 2025

Geita-Vijijini

Wakuu wa Idara na Vitengo Halmashauri ya Wilaya ya Geita Juni 04.2025, wamefanya Ziara ya kutembelea miradi ya maendeleo inayotekelezwa kupitia mapato ya ndani, wajibu wa kampuni kwa jamii (CSR GGML) Serikali Kuu na Wadau wa Maendeleo (Word Bank)

Katika Ziara hiyo wameelekeza Mafundi na Wasimamizi wa Miradi hiyo kuongeza kasi katika Ukamilishaji wa Miradi hiyo ili wananchi waweze kunufaika na miradi hiyo kwa wakati.

Akizungumza katika Ukaguzi wa Miradi hiyo,  Kaimu Afisa Mipango Bi.Sweetnes Malagila amewataka wasimamizi wa miradi hiyo katika Kata kuvitunza vifaa vya ujenzi ili vitumike katika utaratibu mzuri pamoja na kuwataka mafundi wanatekeleza miradi hiyo kuongeza kasi ili miradi ikamilike kwa wakati.

Kwa upande wake Afisa Ardhi Mwandamizi Wakili Hongera Edward amewataka watendaji wa vijiji na walimu ambao miradi inatekelezwa maeneo yao kuyatunza Mazingira kwa kufanya usafi na kuotesha miti na kuendelea kuyatunza majengo ya Serikali.

Miradi Iliyotembelewa ni miradi ya Afya na Elimu ambapo inatekelezwa kupitia vyanzo vya fedha kutoka CSR GGML Milioni 122.6, Mapato ya ndani Milioni 115, Serikali Kuu Milioni 100, Benki ya Dunia kiasi cha Shilingi Milioni 426 na  kufanya jumla ya kiasi cha Shilingi Milioni 763.6

Ziara hiyo imefanyika katika Kata za Nyamboge,  Katoma,Nkome, Kakubilo na Kata ya Kagu jimbo la Geita Tarafa ya Bugando.

Utaratibu wa kutembelea mradi ni moja ya mpango kazi ambao Mkurugenzi Mtendaji Ndg Karia Magaro amewaelekeza Wakuu wa Idara na Vitengo kutembelea miradi inayotekelezwa ili kuendelea kutoa msukumo wa ukamilishaji wa Miradi hiyo na kuanza kutumika kwani adhma ya Serikali ni kukamilisha miradi ili kutoa huduma kwa wananchi.


Tangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI. June 05, 2025
  • TANGAZO LA KAZI GEITA DC September 10, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA September 16, 2024
  • Geita Mamlaka za Wilaya na malmaka za miji GP DOM.pdf September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MKURUGENZI ASISITIZA HATUA KUCHUKULIWA KUDHIBITI UTORO SHULENI.

    June 05, 2025
  • MKURUGENZI ASHIRIKI BONANZA LA WATUMISHI GEITA.

    May 17, 2025
  • MSUKUMO WATOLEWA UKAMILISHAJI WA MIRADI YENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 763.6 GEITA DC

    June 05, 2025
  • MKOA WA GEITA KUELEKEA IRINGA KUSHIRIKI UMITASHUMTA.

    June 03, 2025
  • Tazama zote

video

DED. WANGA AWATAKIA MTIHANI MWEMA WANAFUNZI WA KIDATO CHA NNE HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA WANAOJIANDAA KUFANYA MITIHANI YA TAIFA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Asili ya jina Geita
  • Fursa ya viwanda
  • Fursa ya madini
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA TANO NA VYUO VYA KATI, 2021
  • Vivutio vya Utalii
  • Miradi itakayotekelezwa
  • Miradi inayoendelea
  • Orodha ya wahe.Madiwani

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Bofya Hapa Kutuma,Kupokea na Kufuatilia Malalamiko,Mapendekezo,Maulizo na Pongezi Halmashauri ya Wilya ya Geita
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Watumishi Portal
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu(NBS)
  • Ofisi ya Rais TAMISEMI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter Widgets

Ramani ya Sehemu

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Geita

    Anuani ya Posta: S.L.P 139 Geita

    Simu: +225 282520061

    Mobile:

    Barua pepe: info@geitadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali na Majibu yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki@ Halmashauri ya wilaya ya Geita , Haki zote zimehifadhiwa