• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Halmashauri ya Wilaya ya Geita
Halmashauri ya Wilaya ya Geita

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
    • Historia
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
        • TASAF
      • Fedha na Biashara
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Elimu Msingi
        • Utamaduni
      • Elimu Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Manunuzi na Ugavi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • UKIMWI
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Madini
    • Viwanda
    • Biashara
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Uvuvi
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe.Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Elimu,Afya na Maji
      • UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Wahe.Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Ripoti mbalimbali
    • Sheria ndogo
    • Mpango mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi/kitaifa
    • Hotuba za viongozi
    • Maktaba ya Picha

MSIMAMIZI WA UCHAGUZI NGAZI YA HALMASHAURI KARIA MAGARO AWATAKA WASHIRIKI UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA KUZINGATIA KANUNI ZOTE ZA UCHAGUZI

Posted on: September 26th, 2024

Msimamizi wa Uchaguzi ngazi ya Halmashauri ya Wilaya ya Geita ndg Karia Rajabu Magaro Septemba 26,2024 ametoa maelekezo kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unatarajiwa kufanyika Novemba 27,2024.

Katika Kikao hicho kilichowakutanisha  Watendaji wa Kata, Watendaji wa Vijiji, Wawakilishi wa vyama vya siasa, Asasi za Kiraia, Wazee maarufu na Viongozi wa dini,  Magaro amewasihi wajumbe hao kila mmoja kwa nafasi yake kufikisha taarifa kwa watu walio chini yake.

Kwa Mujibu wa kanuni ya 9 ya Uchaguzi kanuni ya Uchaguzi Serikali za Mitaa 2024 Msimamizi wa Uchaguzi amepewa Mamlaka ya kutoa maelekezo kuhusu Uchaguzi.

Watendaji wa kata, watendaji wa vijiji, wawakilishi wa vyama vya siasa, pamoja na viongozi wa Dini wakiwa katika kikao ili kupokea maelekezo ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa

Aidha msimamizi wa Uchaguzi amesema maelekezo kuhusu Uchaguzi yanatolewa siku sitini na mbili (62) kabla ya siku ya Uchaguzi kwa lengo la kuhakikisha kuwa taratibu zote zinafuatwa na kwamba wapiga kura pamoja na wagombea wanapata taarifa zote zinazohitajika kwa wakati.


Pamoja na hayo, Magaro amewaeleza wajumbe hao kuwa kwa Mujibu wa kanuni ya 17 gazeti la Serikali namba 571,572,573 na 574 kanuni ya  16 gazeti la Serikali namba 572 wakazi wenye umri wa miaka 21 au zaidi wanaotaka kugombea nafasi za Mwenyekiti wa Kijiji, Mwenyekiti wa Kitongoji, wajumbe wa Halmashauri ya kijiji na wajumbe wa viti Maalum wanahimizwa kuchukua fomu ya kugombea katika ofisi ya Msimamizi msaidizi wa Uchaguzi.

Msimamizi wa Uchaguzi Ndg. Karia Magaro akitoa maelezo muhimu ya kuzingatia kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa.


Vile vile Magaro amewasihi wajumbe hao kuzingatia kanuni zote za Uchaguzi kama walivyoelekezwa ili zoezi la Uchaguzi liweze kwenda kwa ufanisi ikiwa ni pamoja na kuzingatia muda wa kuchukua na kurejesha fomu ifikapo Novemba 1 hadi 7.

"Tuna amini kila mmoja atazingatia kanuni ili kila mmoja apate haki ya ushiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27,2024" amesisitiza Ndg Magaro ambaye ni msimamizi wa Uchaguzi ngazi ya Halmashauri.


Pamoja na hayo Magaro ametoa wito kwa Wananchi wote wenye sifa zinazohitajika kujitokeza kushiriki kikamilifu katika mchakato wa Uchaguzi"

" Tunawasisitiza Wananchi kujitokeza kushiriki kwani Serikali inayo ongozwa na Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan imetenga fedha kuandaa vifaa kwa ajili ya zoezi hili muhimu la Uchaguzi" amesema Magaro.

Viongozi wa Dini ni miongoni wa watu waliohudhuria kikao hicho


Akihitimisha kutoa maelekezo kuelekea Uchaguzi wa Serikali za mitaa, ndg Magaro amewasihi wajumbe hao kuwahamasisha watu wenye mahitaji maalum kushiriki vema machakato wa Uchaguzi ili kuendelea kukuza demokrasia na kuhakikisha upatikanaji wa Viongozi bora kwa Maendeleo ya Taifa letu.

Tangazo

  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO KWA VIKUNDI January 23, 2025
  • TANGAZO LA KAZI GEITA DC September 10, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA September 16, 2024
  • Geita Mamlaka za Wilaya na malmaka za miji GP DOM.pdf September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • DC KOMBA ARIDHISHWA NA UTEKEKEZAJI WA MIRADI KUELEKEA MBIO ZA MWENGE WA UHURU 2025.

    May 06, 2025
  • MEI MOSI YALETA FARAJA KWA MAAFISA TARAFA GEITA.

    May 02, 2025
  • RC SHIGELA AIBUA MATUMAINI MAPYA KWA WATUMISHI MKOANI GEITA.

    May 02, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI GEITA DC LAMPONGEZA MKURUGENZI MTENDAJI KWA KUPATA HATI SAFI

    April 30, 2025
  • Tazama zote

video

DED. WANGA AWATAKIA MTIHANI MWEMA WANAFUNZI WA KIDATO CHA NNE HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA WANAOJIANDAA KUFANYA MITIHANI YA TAIFA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Asili ya jina Geita
  • Fursa ya viwanda
  • Fursa ya madini
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA TANO NA VYUO VYA KATI, 2021
  • Vivutio vya Utalii
  • Miradi itakayotekelezwa
  • Miradi inayoendelea
  • Orodha ya wahe.Madiwani

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Bofya Hapa Kutuma,Kupokea na Kufuatilia Malalamiko,Mapendekezo,Maulizo na Pongezi Halmashauri ya Wilya ya Geita
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Watumishi Portal
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu(NBS)
  • Ofisi ya Rais TAMISEMI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter Widgets

Ramani ya Sehemu

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Geita

    Anuani ya Posta: S.L.P 139 Geita

    Simu: +225 282520061

    Mobile:

    Barua pepe: info@geitadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali na Majibu yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki@ Halmashauri ya wilaya ya Geita , Haki zote zimehifadhiwa