Timu ya Menejimenti ya Halmashuri ya Wilaya ya Geita ikiongozwa na Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Geita Dkt. Alphonce Bagambabyaki imefanya ukaguzi wa miradi ya marndeleo katika Kata ya Nkome,
Katika ziara hiyo Dkt Alphonce amewataka mafundi kuongeza kasi ya ujenzi sambamba na kukamilisha miradi hio Ili kutoa huduma kwa wananchi.
Ziara hio ni muendelezo wa ziara ya timu ya Menejimenti ili kuongeza kasi ya utekelezaji wa miradi na kupeleka maendeleo kwa wananchi kwa wakati.
Halmashauri ya Wilaya ya Geita
Anuani ya Posta: S.L.P 139 Geita
Simu: +225 282520061
Mobile:
Barua pepe: info@geitadc.go.tz
Hakimiliki@ Halmashauri ya wilaya ya Geita , Haki zote zimehifadhiwa