Jumlaya mauaji 34 yametokea mkoani Geita kwa kipindi cha miezi mitatu ambapouchunguzi unaonesha mengi ya mauaji hayo yamechochewa na waganga wa jadi.
Takwimuhizo zimewekwa dhahiri na kamanda wa polisi mkoani Geita, Mponjoli Mwabulambo wakatiakizungumza na baraza la madiwani la halmashauri ya wilaya ya Geita, ambapoamesema kuwa mauaji hayo 34 yamejiri kati ya Januari hadi Machi mwaka huu.
AidhaKamanda Mponjoli amewashauri madiwani kutenga kiasi cha bajeti kwa ajili yaulinzi na usalama katika maeneo yao kwa kuwa ni sehemu ya jukumu lao.
Halmashauri ya Wilaya ya Geita
Anuani ya Posta: S.L.P 139 Geita
Simu: +225 282520061
Mobile:
Barua pepe: info@geitadc.go.tz
Hakimiliki@ Halmashauri ya wilaya ya Geita , Haki zote zimehifadhiwa