• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Halmashauri ya Wilaya ya Geita
Halmashauri ya Wilaya ya Geita

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
    • Historia
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
        • TASAF
      • Fedha na Biashara
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Elimu Msingi
        • Utamaduni
      • Elimu Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Manunuzi na Ugavi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • UKIMWI
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Madini
    • Viwanda
    • Biashara
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Uvuvi
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe.Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Elimu,Afya na Maji
      • UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Wahe.Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Ripoti mbalimbali
    • Sheria ndogo
    • Mpango mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi/kitaifa
    • Hotuba za viongozi
    • Maktaba ya Picha

KICHOMI UTEKELEZAJI WA MIRADI YA CSR MKOANI GEITA KUMALIZIKA-WAZIRI MAVUNDE AINGILIA KATI

Posted on: March 15th, 2025

Dodoma-Tanzania

Uongozi wa Mkoa wa Geita umekutana na viongozi mbalimbali  kutoka Wizara ya Madini, Tume ya Madini, ,Wabunge wa Geita pamoja na wawakilishi wa GGML kwa lengo la kupata muafaka kuhusu changamoto za utekelezaji wa miradi ya CSR na kuweka mikakati madhubuti ya kuhakikisha wananchi wa Geita wananufaika ipasavyo na rasilimali za madini.

Akiongoza Kikao hicho Aprili 14, 2025 Jijini Dodoma, Waziri wa Madini, Mh. Anthony Mavunde (MB),katika  kujadili utekelezaji wa miradi ya Mpango wa Uwajibikaji wa Mmiliki wa Leseni kwa Jamii (CSR) inayotekelezwa na Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) katika Mkoa wa Geita Waziri Mavunde amesisitiza kuwa wananchi wa Geita wanatamani kuona matokeo ya moja kwa moja ya uwepo wa mgodi huo kwa kupitia miradi ya maendeleo.

"Nimeitisha kikao hiki kwa lengo la kutafuta njia bora ya kutekeleza miradi ya CSR, kutatua changamoto zilizopo, na kuhakikisha wananchi wa Geita wananufaika na rasilimali zinazochimbwa katika maeneo yao.”Amesema Mhe Mavunde.

Aidha Mhe Mavunde amesema upo umuhimu wa kukamilisha utekelezaji wa miradi ya nyuma ya kuanzia mwaka 2018-2021 ili kuwezesha uanzishwaji wa miradi mipya yenye tija kwa jamii.

Pamoja na hayo Mhe Mavunde ametoa agizo la siku tatu kwa Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kukutana na Wakurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Geita na Halmashauri ya Wilaya ya Geita, kwa lengo la kuandaa na kuwasilisha taarifa ya utekelezaji wa miradi ya nyuma

Kwa upande wake Makamu wa Rais wa Anglo-Gold Ashanti, Simon Shayo, amesema kwamba Kampuni ya GGM ipo tayari kushirikiana na uongozi wa Mkoa wa Geita kuhakikisha wananchi wa Geita wananufaika na miradi ya CSR ambayo kwa sasa kwa ujumla wake imetengewa kiasi cha Tsh 21bn kwa ajili ya utekelezaji wake na hivyo kuleta matokea chanya kwenye. maendeleo ya mkoa wa Geita

Naye Mkuu wa Mkoa wa Geita, Mhe. Martin Shigella, ameisisitiza GGML kuhakikisha miradi iliyosainiwa inatekelezwa kwa wakati na kwa mujibu wa makubaliano, akisisitiza umuhimu wa ushirikiano baina ya Mgodi na Uongozi wa Mkoa kwa manufaa ya wana Geita.

Wakichangia kwenye kikao hicho wabunge wa Mkoa wa Geita Mh. Constantine Kanyasu,Mh. Joseph Kasheku Msukuma na Mh. Tumaini Magesa wameitaka Kampuni ya GGML kuhakikisha inakamilisha miradi ya CSR kwa wakati na kwa ubora wa juu utakaoendana na gharama zilizotumika ili wananchi wa Geita wayaone matunda ya uwepo wa Mgodi huo.

Kwa sasa Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) huchangia kiasi cha Shilingi bilioni 9.2 kila mwaka kama sehemu ya CSR Mkoani Geita ambapo Halmashauri ya Wilaya ya Geita hupokea kiasi cha shilingi 4.3 na Manispaa ya Geita kiasi cha shilingi Bilioni 4.9.

Tangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI. June 05, 2025
  • TANGAZO LA KAZI GEITA DC September 10, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA September 16, 2024
  • Geita Mamlaka za Wilaya na malmaka za miji GP DOM.pdf September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KAMATI YA URATIBU WA MWENGE WA UHURU MKOA YATEMBELEA YATEMBELEA MIRADI HALMASHAURI YA WILAYA, GEITA.

    June 24, 2025
  • ZAIDI YA BILIONI 50 ZATUMIKA KUKAMILISHA MIRADI GEITA 2020-2025.

    June 21, 2025
  • RAISI DKT. SAMIA AZINDUA DARAJA LA KIGOGO-BUSISI.

    June 19, 2025
  • WATUMISHI WILAYANI GEITA WAKUMBUSHWA SUALA LA KUJIFANYIA TATHMINI.

    June 18, 2025
  • Tazama zote

video

DED. WANGA AWATAKIA MTIHANI MWEMA WANAFUNZI WA KIDATO CHA NNE HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA WANAOJIANDAA KUFANYA MITIHANI YA TAIFA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Asili ya jina Geita
  • Fursa ya viwanda
  • Fursa ya madini
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA TANO NA VYUO VYA KATI, 2021
  • Vivutio vya Utalii
  • Miradi itakayotekelezwa
  • Miradi inayoendelea
  • Orodha ya wahe.Madiwani

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Bofya Hapa Kutuma,Kupokea na Kufuatilia Malalamiko,Mapendekezo,Maulizo na Pongezi Halmashauri ya Wilya ya Geita
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Watumishi Portal
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu(NBS)
  • Ofisi ya Rais TAMISEMI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter Widgets

Ramani ya Sehemu

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Geita

    Anuani ya Posta: S.L.P 139 Geita

    Simu: +225 282520061

    Mobile:

    Barua pepe: info@geitadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali na Majibu yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki@ Halmashauri ya wilaya ya Geita , Haki zote zimehifadhiwa