• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Halmashauri ya Wilaya ya Geita
Halmashauri ya Wilaya ya Geita

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
    • Historia
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
        • TASAF
      • Fedha na Biashara
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Elimu Msingi
        • Utamaduni
      • Elimu Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Manunuzi na Ugavi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • UKIMWI
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Madini
    • Viwanda
    • Biashara
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Uvuvi
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe.Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Elimu,Afya na Maji
      • UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Wahe.Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Ripoti mbalimbali
    • Sheria ndogo
    • Mpango mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi/kitaifa
    • Hotuba za viongozi
    • Maktaba ya Picha

DC Cornel Maghembe apokea taarifa ya maagizo ya kamati ya siasa Wilaya ya Geita juu ya Miradi inayotekelezwa na Halmashauri za Wilaya

Posted on: October 13th, 2023

Na: Hendrick Msangi.

DC Cornel Maghembe apokea taarifa ya maagizo ya kamati ya siasa Wilaya ya Geita juu ya Miradi inayotekelezwa na Halmashauri za Wilaya

Ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa ilani ya chama cha Mpinduzi (CCM) katika kutekeleza majukumu yake wilayani Geita.

 Kamati ya Siasa ilifanya ziara ya kukagua Miradi mbalimbali ndani ya Halmashauri hizo na kutoa maagizo kwa watendaji wa Halmashauri ya Wilaya na Mji ili kuhakikisha malengo ya kiutendaji yanatimia.


Katika taarifa hizo zilizosomwa na Wakuu wa Idara katika Halmashauri, zimeeleza  hatua zilizofikiwa katika utekelezaji wa miradi inayoendelea , miradi iliyo kamilika na changamoto zilizojitokeza katika utekelezaji na ukamilishwaji wa miradi kwa wakati.

Miradi iliyotolewa maelezo kwa mujibu wa maagizo ya kamati hiyo ya Siasa Wilayani humo ni pamoja na ujenzi wa miundombinu ya madarasa, barabara, vituo vya afya, miradi ya machinjio,  maji safi na salama pamoja na vikundi vya kijasiriamali vinavyoendesha shughuli katika Halmashauri hizo za Wilaya.

Akipokea taarifa hiyo, Mhe. Maghembe aliwataka watendaji wote kutekeleza wajibu wao ili kutimiza madhumuni ya chama cha Mapinduzi katika kuhakikisha miradi yote inatekelezwa kwa ufanisi.

 " Tujisahihishe tunapokesea ili tuĂ©ndelee kufanya vizuri katika kutekeleza Miradi ambayo serikali inayoongozwa na Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania inatoa fedha nyingi katika Halmashauri zetu na pia Wakurungezi fedha zinapoingia hakikisheni zinapelekwa kwenye miradi kwa wakati" alisema Maghembe.

Naye Mwenyekiti wa chama cha Mpinduzi  (CCM)- Wilaya ndugu  Barnabas Mapande ambaye aliongoza kamati hiyo ya Siasa katika kukagua Miradi mbalimbali ndani ya Halmashauri hizo, aliwataka Wakurungezi hao kusimamia maelekezo katika Utendaji na fedha zinazotolewa na Serikali Kuu.

 " Kuwepo na ushirikiano Kati ya mafundi na wahandisi ili kuepuka dosari ndogo ndogo zinazojitokeza katika kutekeleza Miradi ambayo serikali inatenga fedha nyingi" alisema Mapande.

Akiendelea kutoa maoni yake juu ya maagizo yaliyotolewa na kamati ya siasa Wilayani Geita,  Mapande alitoa maagizo kuhusu mradi wa Kokoto ambao unaendeshwa na kikundi cha Wanawake Mazoea kilichopo kata ya Nyawilimilwa kufuatiliwa upya ili mradi huo uwe na tija kwa kuhakikisha kunakuwepo na mashine za kuleta mawe, upasuaji na hata kupeleka kwa wateja ili kikundi hicho kiweze kufanya kazi kwa ufanisi na kuzalisha kipato.

Kikao hicho kilihudhuriwa na Mhe. Mkuu wa Wilaya, Mwenyekiti wa CCM -wilaya,  Katibu wa Umoja wa CCM -Wilaya,  Mbunge wa Jimbo la Geita, Wakurungezi wa Halmashauri ya Wilaya ya Geita na Mji pamoja na wakuu wa Idara  na vitengo mbalimbali kutoka Halmashauri hizo.

Aidha Mhe. DC  Maghembe aliishukuru serikali inayoongozwa na Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kutoa fedha nyingi kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali Wilayani Geita.

Tangazo

  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO KWA VIKUNDI January 23, 2025
  • TANGAZO LA KAZI GEITA DC September 10, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA September 16, 2024
  • Geita Mamlaka za Wilaya na malmaka za miji GP DOM.pdf September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • DC KOMBA ARIDHISHWA NA UTEKEKEZAJI WA MIRADI KUELEKEA MBIO ZA MWENGE WA UHURU 2025.

    May 06, 2025
  • MEI MOSI YALETA FARAJA KWA MAAFISA TARAFA GEITA.

    May 02, 2025
  • RC SHIGELA AIBUA MATUMAINI MAPYA KWA WATUMISHI MKOANI GEITA.

    May 02, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI GEITA DC LAMPONGEZA MKURUGENZI MTENDAJI KWA KUPATA HATI SAFI

    April 30, 2025
  • Tazama zote

video

DED. WANGA AWATAKIA MTIHANI MWEMA WANAFUNZI WA KIDATO CHA NNE HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA WANAOJIANDAA KUFANYA MITIHANI YA TAIFA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Asili ya jina Geita
  • Fursa ya viwanda
  • Fursa ya madini
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA TANO NA VYUO VYA KATI, 2021
  • Vivutio vya Utalii
  • Miradi itakayotekelezwa
  • Miradi inayoendelea
  • Orodha ya wahe.Madiwani

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Bofya Hapa Kutuma,Kupokea na Kufuatilia Malalamiko,Mapendekezo,Maulizo na Pongezi Halmashauri ya Wilya ya Geita
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Watumishi Portal
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu(NBS)
  • Ofisi ya Rais TAMISEMI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter Widgets

Ramani ya Sehemu

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Geita

    Anuani ya Posta: S.L.P 139 Geita

    Simu: +225 282520061

    Mobile:

    Barua pepe: info@geitadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali na Majibu yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki@ Halmashauri ya wilaya ya Geita , Haki zote zimehifadhiwa