Tunakodisha Mitambo ya ujenzi wa barabara kama vile Motor grader, compactor Vibrator na excavator kwa bei nafuu. Fika ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Geita onana na Meneja mitambo au piga simu namba 028 2520061
Halmashauri ya Wilaya ya Geita
Anuani ya Posta: S.L.P 139 Geita
Simu: +225 282520061
Mobile:
Barua pepe: info@geitadc.go.tz
Hakimiliki@ Halmashauri ya wilaya ya Geita , Haki zote zimehifadhiwa