Mradi huu wa nyumba ya watumishi wa zahanati ya Msasa kata ya Busanda ulianza rasmi mwaka wa fedha 2013/2014 na umemalizika mwaka 2017 kwa lengo la kusaidia watumishi wa zahanati hiyo kuwa karibu kwa ajili ya kutoa huduma.
Halmashauri ya Wilaya ya Geita
Anuani ya Posta: S.L.P 139 Geita
Simu: +225 282520061
Mobile:
Barua pepe: info@geitadc.go.tz
Hakimiliki@ Halmashauri ya wilaya ya Geita , Haki zote zimehifadhiwa