• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Halmashauri ya Wilaya ya Geita
Halmashauri ya Wilaya ya Geita

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
    • Historia
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
        • TASAF
      • Fedha na Biashara
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Elimu Msingi
        • Utamaduni
      • Elimu Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Manunuzi na Ugavi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • UKIMWI
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Madini
    • Viwanda
    • Biashara
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Uvuvi
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe.Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Elimu,Afya na Maji
      • UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Wahe.Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Ripoti mbalimbali
    • Sheria ndogo
    • Mpango mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi/kitaifa
    • Hotuba za viongozi
    • Maktaba ya Picha

ZAIDI YA MIRADI 8 YA MAENDELEO NDANI YA HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA YAPITIWA NA KUKAGULIWA NA MBIO ZA MWENGE WA UHURU 2019

Posted on: May 6th, 2019

Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2019 Ndugu, Mzee Mkongea Ali kutoka Mjini Magharibi, amefungua Miradi 5 na kuweka jiwe la msingi katikia miradi 2 kati ya miradi 8 iliyokuwa katika mpango  wa Halmashauri ya Wilaya ya Geita iliyogharimu kiasi cha zaidi ya shilingi Bilioni 5.4

Mbio za Mwenge wa Uhuru 2019 zikiwa na ujumbe unaozingatia hoja, vipaumbele na mikakati ya Serikali ya awamu ya Tano ya Kuboresha Sekta ya Maji kwa kuzingatia dhana ya ushirikishwaji wa wananchi katika kulinda na kuhifadhi vyanzo vya maji umetembelea Kisima cha maji  njia panda ya Iyala uliogharimu kiasi cha shilingi 22,251,000.

Pia Miradi iliyopitiwa na mbio za mwenge wa uhuru 2019 ndani ya  Halmashauri ya Wilaya ya Geita ni pamoja na Ujenzi wa Madarasa 12 ya Sekondari 1 ya Katoro uliogaharimu kiasi cha zaidi ya Shilingi Milioni 119 katika utekelezaji wake.

Miradi mingine ni pamoja na kuwekwa jiwe la msingi Kituo cha Afya Kakubilo kilichogharimu kiasi cha Shilingi 93,507,000, Mradi unaotekezwa na nguvu za Wananchi, Halmashauri ya Wilaya,Wahisani na Serikali kuu. Katika kilimo, Mbio za mwenge wa Uhuru 2019 ndani ya Halmashauri ya Wilaya zimepitia na kuzindua mradi ya  Kitalu Shamba Salagulwa na kutembelea shamba la Nanasi Kagu, kwa lengo la kuongeza kasi ya kilimo cha kisasa na chenye tija.

Mwenge wa Uhuru 2019 Katika kuihamasisha jamii ya watanzania kuhusu Mapambano dhidi ya Rushwa, mapambano dhidi ya VVU/UKIMWI, Mapambano dhidi ya matumizi ya dawa za kulevya na mapambano dhidi ya Malaria, Mwenge umezindua klabu ya mapambano dhidi ya dawa za kulevya  na klabu ya kuzuia na kupambana na Rushwa katika Shule ya Sekondari Chigunga.

Halmashauri ya Wilaya ya Geita tumeadhimia kusimamia kwa uadilifu miradi yote iliyokatika utekelezaji ili kuongeza hamasa kwa wananchi juu ya maendeleo katika sekta zote ili kwenda sawa na malengo ya Dira ya Taifa ya maendeleo 2025.

Tangazo

  • HIZI HAPA AJIRA ZA KUMWAGA GEITA DC July 15, 2025
  • TANGAZO LA KUKODI MAGARI August 31, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 02, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 02, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • TIMU YA MENEJIMENTI HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA YARIDHISHWA NA KASI YA UKAMILISHAJI WA MIRADI

    October 17, 2025
  • GEITA DC KUENDELEA KUTEKELEZA MIRADI YA BOOST YENYE THAMANI YA BILIONI 3.2

    October 09, 2025
  • MKUU WA WILAYA YA NYANG'WALE ATEMBELEA BANDA LA MAONESHO YA MADINI LA HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA.

    September 24, 2025
  • WAUGUZI WA AFYA NA MAAFISA LISHE GEITA DC WAASWA KUEPUKA MIGOGORO MAENEO YA KAZI.

    September 22, 2025
  • Tazama zote

video

DED. WANGA AWATAKIA MTIHANI MWEMA WANAFUNZI WA KIDATO CHA NNE HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA WANAOJIANDAA KUFANYA MITIHANI YA TAIFA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Asili ya jina Geita
  • Fursa ya viwanda
  • Fursa ya madini
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA TANO NA VYUO VYA KATI, 2021
  • Vivutio vya Utalii
  • Miradi itakayotekelezwa
  • Miradi inayoendelea
  • Orodha ya wahe.Madiwani

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Bofya Hapa Kutuma,Kupokea na Kufuatilia Malalamiko,Mapendekezo,Maulizo na Pongezi Halmashauri ya Wilya ya Geita
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Watumishi Portal
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu(NBS)
  • Ofisi ya Rais TAMISEMI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter Widgets

Ramani ya Sehemu

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Geita

    Anuani ya Posta: S.L.P 139 Geita

    Simu: +225 282520061

    Mobile:

    Barua pepe: info@geitadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali na Majibu yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki@ Halmashauri ya wilaya ya Geita , Haki zote zimehifadhiwa