• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Halmashauri ya Wilaya ya Geita
Halmashauri ya Wilaya ya Geita

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
    • Historia
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
        • TASAF
      • Fedha na Biashara
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Elimu Msingi
        • Utamaduni
      • Elimu Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Manunuzi na Ugavi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • UKIMWI
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Madini
    • Viwanda
    • Biashara
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Uvuvi
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe.Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Elimu,Afya na Maji
      • UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Wahe.Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Ripoti mbalimbali
    • Sheria ndogo
    • Mpango mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi/kitaifa
    • Hotuba za viongozi
    • Maktaba ya Picha

MASOKO MATATU YA DHAHABU YAFUNGULIWA HALMASHAURI YA WILAYA GEITA

Posted on: May 23rd, 2019

Baada ya hivi karibuni Waziri mkuu Kassim Majaliwa kufungua soko kubwa la dhahabu mkoani Geita, Masoko mengine matatu ya Dhahabu yamefunguliwa katika Kijiji cha Nyakagwe pamoja na Kata za Nyarugusu na Katoro ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Geita.

Mratibu wa ufunguaji wa Masoko hayo ya dhahabu ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhandisi Robert Gabriel amesema mpango uliopo ni kufungua masoko 9 katika maeneo mbalimbali ya Mkoa, ambayo dhahabu hupatikana kwa wingi.

Mhandisi Robert amesema lengo la kufungua masoko hayo ni kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Magufuli katika kudhibiti utoroshwaji wa dhahabu na kuimarisha ukusanyaji wa mapato kwenye sekta ya madini, hata hivyo ndani ya miezi 2 toka kufunguliwa kwa soko la dhahabu mjini Geita, mkoa umeweza kupokea kilo 200 kutoka kwa wachimbaji wadogo pia unatarajia kupokea kilo 400 zaidi za dhahabu.

“masoko haya ya dhahabu hayaleti faida kwa Serikali tu bali yatawasaidia hata ninyi wachimbaji wadogo, mwenye gramu moja atauza hapa na kupatiwa stahiki zake bila kuulizwa ametoa wapi dhahabu, hivyo naendelea kusisitiza hakuna mtu kuuza dhahabu nje ya masoko haya pia natoa mwezi mmoja kwa wamiliki wa illusion plant kufunga CCTV Camera ili mchimbaji anapoleta dhahabu yake aone kinachoendelea, maana nina taarifa za uwizi unaofanyika huko”amesema Mhandisi Robert.

Kwa upande wake Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Geita Ali Kidwaka amesema awali makusanyo ya madini mengi yalikuwa yanaenda kwenye maeneo mengine, lakini ujio wa masoko hayo yatasababisha makusanyo yote kuingia katika Halmashauri ya Wilaya.

Aidha amewataka wachimbaji  wa dhahabu kulipa kodi ili iweze kusaidia katika utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo hususani kwenye afya, elimu, maji na Barabara.

Tangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI. June 05, 2025
  • TANGAZO LA KAZI GEITA DC September 10, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA September 16, 2024
  • Geita Mamlaka za Wilaya na malmaka za miji GP DOM.pdf September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KAMATI YA URATIBU WA MWENGE WA UHURU MKOA YATEMBELEA YATEMBELEA MIRADI HALMASHAURI YA WILAYA, GEITA.

    June 24, 2025
  • ZAIDI YA BILIONI 50 ZATUMIKA KUKAMILISHA MIRADI GEITA 2020-2025.

    June 21, 2025
  • RAISI DKT. SAMIA AZINDUA DARAJA LA KIGOGO-BUSISI.

    June 19, 2025
  • WATUMISHI WILAYANI GEITA WAKUMBUSHWA SUALA LA KUJIFANYIA TATHMINI.

    June 18, 2025
  • Tazama zote

video

DED. WANGA AWATAKIA MTIHANI MWEMA WANAFUNZI WA KIDATO CHA NNE HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA WANAOJIANDAA KUFANYA MITIHANI YA TAIFA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Asili ya jina Geita
  • Fursa ya viwanda
  • Fursa ya madini
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA TANO NA VYUO VYA KATI, 2021
  • Vivutio vya Utalii
  • Miradi itakayotekelezwa
  • Miradi inayoendelea
  • Orodha ya wahe.Madiwani

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Bofya Hapa Kutuma,Kupokea na Kufuatilia Malalamiko,Mapendekezo,Maulizo na Pongezi Halmashauri ya Wilya ya Geita
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Watumishi Portal
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu(NBS)
  • Ofisi ya Rais TAMISEMI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter Widgets

Ramani ya Sehemu

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Geita

    Anuani ya Posta: S.L.P 139 Geita

    Simu: +225 282520061

    Mobile:

    Barua pepe: info@geitadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali na Majibu yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki@ Halmashauri ya wilaya ya Geita , Haki zote zimehifadhiwa