• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Halmashauri ya Wilaya ya Geita
Halmashauri ya Wilaya ya Geita

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
    • Historia
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
        • TASAF
      • Fedha na Biashara
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Elimu Msingi
        • Utamaduni
      • Elimu Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Manunuzi na Ugavi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • UKIMWI
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Madini
    • Viwanda
    • Biashara
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Uvuvi
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe.Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Elimu,Afya na Maji
      • UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Wahe.Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Ripoti mbalimbali
    • Sheria ndogo
    • Mpango mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi/kitaifa
    • Hotuba za viongozi
    • Maktaba ya Picha

Mafunzo ya Msingi ya maadili kwa watumishi wa Umma yaongeza chachu ya Utendaji.

Posted on: June 12th, 2019

Katika kuhakikisha maendeleo yanaongezeka kwa wananchi  na mwendo wa kimapinduzi katika Nyanja zote yanakuwa na tija ,Viongozi wa Umma,wakuu wa Idara na taasisi binafsi wamepata elimu na mafunzo maalumu kwa lengo la kutunza maadili na uwajibikaji kwa wananchi.

Mgeni rasmi wa Mafunzo hayo Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhandisi Robert Gabriel amesema uwepo wa watumishi wachache wasio na maadili katika utendaji unarudisha nyuma chachu ya mafanikio na maendeleo kwa  wananchi.

Mhandisi Gabriel ameongeza kuwa maadili kwa watumishi wa Umma yanasaidia kuondoa mgongano wa kimaslahi,kuleta  utulivu na amani,kusimamia haki na kudhibiti mianya na viashiria vya rushwa.

Mafunzo ya msingi ya maadili kwa watumishi wa Umma ndani ya  Mkoa wa Geita yameongozwa na Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma kanda ya Ziwa chini ya katibu msaidizi sekretarieti ya maadili ya viongozi wa Umma kanda ya ziwa Bwana,Godson kweka na kuweka wazi kuwa watumishi wa Umma ni vyema kuzingatia maadili na kuishi katika ahadi ya Uadirifu.

Tangazo

  • HIZI HAPA AJIRA ZA KUMWAGA GEITA DC July 15, 2025
  • TANGAZO LA KUKODI MAGARI August 31, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 02, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 02, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • GEITA DC YAPOKEA ZANA ZA KILIMO KUTOKA WIZARA YA KILIMO

    December 01, 2025
  • KATIBU TAWALA MOROGORO DKT MUSSA AZITAKA HALMASHAURI KUUNGA JUHUDI ZA VIKUNDI VINAVYOWEZESHWA NA SERIKALI KULETA MATOKEO CHANYA.

    November 14, 2025
  • WATAALAM KUTOKA MKOA WA GEITA WAPATIWA MAFUNZO UTEKELEZAJI WA MRADI WA KUKUZA USAWA WA KIJINSIA TANZANIA(PAMOJA)

    November 13, 2025
  • TIMU YA MENEJIMENTI HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA YASHIRIKI MAFUNZO YA E-BOARD TOLEO LA PILI

    November 30, 2025
  • Tazama zote

video

DED. WANGA AWATAKIA MTIHANI MWEMA WANAFUNZI WA KIDATO CHA NNE HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA WANAOJIANDAA KUFANYA MITIHANI YA TAIFA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Asili ya jina Geita
  • Fursa ya viwanda
  • Fursa ya madini
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA TANO NA VYUO VYA KATI, 2021
  • Vivutio vya Utalii
  • Miradi itakayotekelezwa
  • Miradi inayoendelea
  • Orodha ya wahe.Madiwani

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Bofya Hapa Kutuma,Kupokea na Kufuatilia Malalamiko,Mapendekezo,Maulizo na Pongezi Halmashauri ya Wilya ya Geita
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Watumishi Portal
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu(NBS)
  • Ofisi ya Rais TAMISEMI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter Widgets

Ramani ya Sehemu

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Geita

    Anuani ya Posta: S.L.P 139 Geita

    Simu: +225 282520061

    Mobile:

    Barua pepe: info@geitadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali na Majibu yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki@ Halmashauri ya wilaya ya Geita , Haki zote zimehifadhiwa